uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; - Kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda 2021: Mfahamu John Katumba, kijana mwenye umri mdogo anayewania urais Uganda

    Wakati Yoweri Tibabuhurwa Kaguta Museveni alipochukua madaraka kuongoza Uganda mwaka 1986 alikuwa kijana wa miaka 42. Miaka 34 baadaye anaingia kwenye kinyang'anyiro cha kutetea kiti chake dhidi ya 'mjukuu wake' wake John Katumba, ambaye wakati anazaliwa rais huyo mkongwe kuliko wote Afrika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Bunge kubadilisha sheria/katiba, mgombea Urais lazima awe amekaa nchini kwa miaka miwili mfululizo kabla ya uchaguzi mkuu

    Kitendo cha Lissu kufanikiwa kuingia nchini na kugombea Urais na kisha kupata uungwaji mkono mkubwa kimegonga nyundo katika bongo za Wanasheria wasiozingatia maadili ya kazi yao na Sasa vijana wa UVCCM wanaandaa mkakati wakumdhibiti asiweze kugombea muhula ujao. Moja ya mkakati uliopo nikuweka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya watu kupoteza imani na Tume ya Uchaguzi huku wapinzani wakisusa kushiriki chaguzi, kinachofuata ni kuletewa Mgombea binafsi

    Katika jitihada za kuondoa picha ya kuwa na Bunge la chama kimoja,na kuondoa dhana inayojengeka kwa kasi sasa kwamba demokrasia sasa imekufa, watachofanya hawa mabwana ni kutuletea kitu kinachoitwa "Mgombea Binafsi" ingawa yatakuwa ni yale yale tu maana mifumo ni ile ile. Katika hili, baadhi...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Hisia za Wanasiasa kuhusu Uchaguzi Mkuu haziwezi kuelezeka kwa maneno

    Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameshauri kufanyika kwa mazungumzo ili kupata mwafaka wa kitaifa utakaoliwezesha taifa kwenda mbele baada ya kuwapo kasoro mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mbatia...
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini yangu juu ya Uchaguzi Mkuu 2020: Hakuna sababu nzuri ya kukataa kuteua wabunge wa Viti Maalum CHADEMA

    Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika) Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation." Yaani, "Safari ya Kutoka Kwenye HImaya ya Kidikteta Kuelekea Kwenye HImaya ya Kidemokrasia: Mawazo...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu. CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Pemba, Wanawake watatu wapewa talaka kwa sababu za kisiasa

    Wakinamama takribani watatu wamethibitika kupewa talaka baada ya hekaheka za uchaguzi. Wete katika jimbo la Gando mume ametoa talaka kwa bi. Zawadi Ally Haji "Niliachwa kipindi hicho cha siasa, mume aliniambia nikienda kupiga kura ndio talaka yangu na mimi nikaenda, nilivyorudi jioni ndio...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Postimitemu ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Uchaguzi mkuu umekwisha. Huu ni wakati wa kupiga tathmini. Nitaleta tathmini yenye vipengele vifuatavyo: 1. Mchakato wa kuandaa Ilani ya uchaguzi 2. Mchakato wa kujenga Mtandao wa kampeni za uchaguzi 3. Kusimamia kura za Maoni 4. Historia ya kufuata Katiba ya Chama 5. Utaratibu wa kufanya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

    TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania. ===== Dear...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi Kwa Comrade Ally Saleh, Uchaguzi Umekwisha, Yaliyopita Si Ndwele, Tugange Yaliyopo na Yajayo, Pelekeni Majina, Muijenge Zanzibar Yenu!

    Wanabodi, Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar. Wakati wa vurugu za...
  12. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Waliokufa kwa maandamano waongezeka, Jeshi latoa tamko

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi nchini humo. Polisi walimkamata Bobi Wine Jumatano wiki hii katika mji wa Luuka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally, Mjamaa aliyeshindwa kutuonesha ujamaa kwenye Uchaguzi

    Alianza na kauli, kwa kusema chama chenye dola kushindwa kutetea dola yake ni uzembe!. Alishangaa iweje uwe na dola kisha upoteze dola. Naam!. Kwenye uchaguzi huu tumeona alichomaanisha!. Bila shaka sote tuliona nini maana ya kutumia dola kubaki na dola, Tulishuhudia Kura kwenye vikapu vya...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Aida Khenan: Chama kimeniteua nikashinde sio kushiriki uchaguzi

    Leo mbunge pekee wa kuchaguliwa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia jimbo la Nkasi Kaskazini amefanya mahojiano na mwandishi wa idhaa ya Kiswahili ya DW, Deo Makomba na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo. MWANDISHI: Unajisikia vipi hasa kuwa mmoja wa wabunge...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

    Akihojiwa na kituo cha habari cha Sauti ya Ujerumani, Jenerali ulimwengu amesema kuwa zoezi la uchaguzi mkuu halikuwa huru na haki na kwamba tangu mchakato wa upinzani uanze, wapinzani walitendewa mambo ambayo kimsingi ukiyaangalia siyo fair kabisa. Jenerali amekumbushia kauli ya Magufuli...
  16. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa mwaka huu uwe fundisho la mwisho kwenu wapenda mabadiliko

    Inasikitisha kwamba pamoja na chaguzi za mfumo wa vyama vingi zilizopita bado watu hamjalielewa somo badala yake mmekuwa mkirudia makosa yale yale kila baada ya miaka mitano. inawezekana kweli somo ni gumu kuelewa lakini hata picha hamuoni? unakuta mtu na akili zake timamu anaacha kufanya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni ushamba wa kuchoma moto mali za familia kwa kisingizio cha "hasira" za kufelishwa Uchaguzi!

    Mambo yaliyosikika kutokea Meatu mkoani Simiyu na Liwale na maeneo mengine ya Mikoa ya Kusini yanasikitisha sana. Ninaandika haya baada ya kushuhudia wananchi wa Lindi wakikitaja chama kimoja cha Upinzani kinachoongozwa na Profesa anayeheshimika duniani kwamba kinahusika na hii " choma choma"...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya, Marekani na Asia; heshimuni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    WanaJF, Salaam! Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania. Jumuiya za kimataifa zinapaswa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu uliowaweka wagombea wengi wa CCM madarakani kwa kuwa utashi wa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath. The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Wakurugenzi wangebadilishwa vituo vyao vya kazi

    Ni ushauri tu Uchaguzi umekwisha na maisha inabidi yaendelee huku kasi ya kujiletea maendeleo ikiongezeka. Rais Magufuli alisema hatafanya teuzi mpya kwa maRC, maDC, Wakurugenzi nk nami nakubaliana naye kwa 100% ila namwomba kwa Wakurugenzi angewabadilishia vituo vya kazi ili kuongeza kasi ya...
Back
Top Bottom