Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko.
Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi.
Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama...
Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia.
Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais" atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa ajira ili wahamie CCM. Hiyo itakuwa ni propaganda kuwa yeye...
I am really dissapointed seeing my once peaceful country turning into a state of using too much maguvu rather than using and abiding to fair elections, really sad! Airplames, roads, bridges, etc you name it, They really dont matter if there is no freedom of citizens.
The disadvantages of having...
Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka.
Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza)...
Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27%
Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais kwa kupitia chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amepata kura 99103 sawa na 19.87%
Mwinyi...
Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari?
Hakika watawamiss sana na ndipo mtagundua kosa mlilofanya sasa kama tu bunge lilimkosa Lissu likapoa, je likikosa...
Inasikitisha sana kuona nchi yetu inapoenda kidemokrasia. Kama wewe ni Mtanzania unayependa nchi hii huwezi kufurahia hata kidogo kinachoendelea.
1. Kwanza jiulize kitu kimoja kunyang'anya Wapinzani nafasi walizoshinda kihalali au kuwazuia haki zao inasaidia vipi taifa letu? Kusaidia CCM sio...
Kwa ufupi tumeiona kwa mwelekeo huu Zanzibar Maalim ameongoza lakini huenda akatangazwa Mwinyi (CCM itashangilia na ACT wazalendo na kambi ya upinzani watabaki wenye huzuni).
Upande wa Madiwani na Wabunge hali inaonyesha asilimia 98% watatoka CCM bila kujali walipita bila kupingwa, wameshinda...
Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Mara una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni
Bunda Mjini:
Robert Maboto(CCM) - Kura 31,129...
Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi.
Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo tayari kuachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura. Si Bara wala si Visiwani.
CCM si chama cha siasa...
Wana JF,
Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi.
Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni "mawakala".
Napenda kuwakumbusha wanasiasa na vyama vya siasa kutambua yafuatayo kwa ajili ya chaguzi...
Nilitamani sana kufikia hatua ya kuwa na nchi ambayo Chama kinachoshindwa kinasema "tunawashukuru wananchi kwa kura mlizotupa,hazikutosha tunajipanga upya kwa uchaguzi ujao"
Sidhani kama nitafanikiwa kuiona nchi hiyo hasa nikiwa bado ni raia wa Tanzania na Mwafrika ninaye ishi Africa. Sidhani...
Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.
Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema kuna majimbo manne ambayo uchaguzi wa madiwani haujafanyika.
Majimbo matatu Wagombea wamefariki na jimbo moja la Kibosho Kati karatasi za kura zimekosewa hivyo tume itapanga tarehe husika ya uchaguzi...
Kwa mujibu wa kifungu cha 77 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 78 cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, pale ambapo kutakuwa na wagombea waliopata idadi ya kura inayolingana na ikashindikana kupata mshindi baada ya kujumlisha kura zote, Msimamizi wa...
Kupitia akaunti ya twitter ya Tundu Lissu,nimeona video (bila shaka ni huko Kawe, Dar-es-salaam) inayoonyesha rundo la kura zinazidaiwa kuwa ni feki huku Polisi wakishirikishwa kuzitambua/ kushuhudia karatasi hizo za kura ambazo zimepigiwa kura mgombea wa CCM.
Video hii ni tofauti na ile...
Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.
Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya...
Ni dhahiri kwamba Tume Ya Uchaguzi iliyopo si tume huru kama misingi ya chaguzi za kidemokrasia inavyohitaji.
Mojawapo ya mapungufu ya tume yetu (NEC) ni kwamba watendaji wake wote wanachaguliwa na Rais ambaye pia
ni mmoja wapo wa wagombea. Watendaji hawa wanawajibika kwake na anaweza kuwaondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.