ubadhirifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TALGWU, Mhasibu na Mkuu wa Mikopo wafikishwa Mahakamani kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 133.5

    DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kwa Ubadhirifu

    Kesi Namba Ecc 37709/2023 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni ambapo mshtakiwa Bw. EZEKIEL SAGITII - Mhasibu katika Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni tatu (3,000,000/=) au kutumikia...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

    Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga . Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana ! Msafara wake ni mara 2 ya msafara...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo. Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Mufindi na M/kiti wa Mapanda kizimbani kwa ubadhirifu wa zaidi Sh. Milioni 19

    Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Mufindi Bw. Jeswald Gustav Ubisiambali na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mapanda Bw. Oberd Francis Madembo, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa mashtaka mawili; 1. Ubadhirifu na ufujaji 2. Wizi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Serikali za Wanafunzi wa Vyuo wakithiri, CCM yatajwa, Rais wa TAHLISO atakiwa kujiuzulu

    Baada ya vyuo vingi ikiwemo DIT (Dar es salaam Institute of Technology) Sasa ni SAUT (St. Augustine University of Tanzania) Mwanza. Huyu Anaitwa Kabado C. Kabado Rais wa Serikali ya Wafunzi SAUT Mwanza Tar. 21 Nov, 2023 Usiku Nlipokea simu na Jumbe za Maandish nyingi kutoka kwa Wanafunzi wa...
  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wabunge hawasemi uongo, Ripoti ya CAG inaonesha kuna ubadhirifu

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kutokana na mjadala wa Wabunge kuonesha Halmashauri nyingi zina Ubadhirifu mkubwa, anapata wakati mgumu kusikia kauli za Mawaziri wakisema Wabunge wanasema uongo wakati taarifa za Kamati zinaonesha kuna ubadhirifu katika Halmashauri hizo. Akitolea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kagera: Viongozi wa Chama cha Ushirika Karagwe wahukumiwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 40

    KAGERA: Mahakama ya Wilaya Karagwe imewahukumu waliokuwa waajiriwa wa Chama cha Ushirika Caisalius Mathias Rugemalira (Kaimu Meneja), Renatus Gerald, (Kaimu Mhasibu) na Revelian M. Makune, (Mwenyekiti wa Bodi) kwenda jela Miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,800,00 kwa Ubadhirifu wa Fedha za Chama...
  10. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu katika Risiti za EFD za TRA

    Hivi karibuni kumeibuka Hoja nyingi juu ya uhalali wa Risiti za EFD, kwa sasa EFD ndio risiti maalumu ya Bidhaa kuuza na kununua popote pale Nchini. Lakini risiti hizi zina utata kutokana na uhalali wake. TRA wana tovuti ya kuhakiki risiti hizi za EFD ambayo ni TRA RISITI lakini asilimia 80%...
  11. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kwanini shutuma zote za wizi na Ubadhirifu awamu ya sita hazijibiwi?

    Wakuu Salam, Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu. Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo. Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
  12. voicer

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya Manunuzi ya vitu vya "mtumba" bila PPRA ni kupanua ubadhirifu

    8Video Clip ipo Chini"Mwigulu Kama Makamba na Nape! Wanasaka za Uchaguzi (ndoto za Urais)" Jana, 08/09/2023 huko Dodoma Serikali kupitia Bunge lake ilipitisha sheria mpya ya manunuzi ya serikali. Ambapo sasa ni ruksa kwa serikali au taasisi yoyote ile ya Umma nchini inaweza kununua vifaa au...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji shuleni hapo,cha kushanga watoto wetu wamekuwa wakipigwa kila Mara wanapokuwa kwenye mitihani ikiwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maana ya Vitendo vya Rushwa, Ubadhirifu na Udanganyifu

    Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania Serikali imepoteza Tsh. bilioni 1,494.75 kutokana na rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu

    Kupoteza mamilioni ya shilingi katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato ni janga la kitaifa. Inaonekana kuwa Serikali yetu imepoteza shilingi bilioni 1,494.75 kutokana na vitendo vya rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu. Hii ni idadi kubwa sana ya pesa ambayo ingeweza kutumiwa kuboresha huduma za...
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu na Rushwa bado ni mkubwa

    Kwa kuzingatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2021/22, ni wazi kuwa rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu bado ni matatizo makubwa katika matumizi ya fedha za umma. WAJIBU, kwa kuzingatia ripoti hiyo, imegundua miamala mingi yenye viashiria vya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mawasiliano ya viongozi yawekwe wazi kurahisisha utoaji wa taarifa, uovu kutoka kwa wananchi

    Mawasiliano njia ya kupashana habari, kufikishiana jumbe na taarifa kati mtu na mtu au mtu na shirika, mwananchi na kiongozi/viongozi, mashirika kwa mashirika au viongozi kwa viongozi. Kukuwa kwa teknolojia kumerahisisha mawasiliano kufanyika kwa haraka hasa pale njia ya ana kwa ana inapokuwa...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu unaofanywa mbele ya picha ya Rais ni sawa na kumtukana na kumng'ong'a Rais ukimuangalia usoni

    Kila niamkapo sikosi jambo la kuandika hapa jf, unawesa patwa na hisia labda kila nikilala huwa niota au la? Najiuliza hivi wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika ofisi za umma uwa wanaiangalia picha au kuitizama picha ya Mh. Rais wetu kweli? Kama wanaitazama hawajui kama anawaona ?hivi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Makete ashtakiwa kwa ubadhirifu wa Tsh. Milioni 17.4 za Uchaguzi Mkuu 2015

    Watuhumiwa katika kesi hiyo ni William M. Makufwe ambaye kwasasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Chrostopher M. Nyaki aliyekuwa Mweka Hazina wa Halmashauri ya Rungwe, Mbeya. Katika hati ya Mashtaka, watuhumiwa hao pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa...
Back
Top Bottom