Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,727
218,289
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge

Screenshot_2024-01-26-17-18-24-1.png
Screenshot_2024-01-26-17-18-28-1-1.png


Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .

Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !

Msafara wake ni mara 2 ya msafara wa Hangaya .
 
kuna mdau mmoja jana alicoment kwenye bandiko la mayalla nikapenda sana comment yake inasema.

"Zamani nilikua nataka Tanzania tujikomboe kifikra ila Kwa Sasa nimeamua kuipenda hivo hivo bila kutamani chochote kutoka kwake,ni kama uzae mtoto mlemavu ambae yupo kitandani mda wote mwisho wa siku hutamani Tena apone unajifunza kumkubali Hali yake na kumpenda hivo hivo.
 
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya , tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge

View attachment 2883487View attachment 2883488

Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .

Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !

Msafara wake ni mara 2 ya msafara wa Hangaya .


Ni karma tu ya uvamizi wa Nyerere kwa Zanzibar
 
Andaa makadirio ya yafuatayo
1. Gharama ya magari yote kwenye msafara
2. Gharama ya mafuta ya magari
3. Gharama ya posho za watu wote wa kwenye msafara
4. Gharama za kurusha matangazo
5. Gharama za kulipa chawa
6. Gharama ya kulipa mafuta na posho bodaboda kwenye mkutano.
7. Gharama zote za kuandaa mkutano, na gharama zingine zilizojificha na kusahaulika.

Jumla hapo lazima iwe umechangamka
 
Kumbuka hapo wapo viongozi wote wa idara mbalimbali na taasisi mbalimbali na vitengo mbalimbali.ndio maana unaona mahali anapofika na kukuta kuna changamoto ya aina fulani inayogusa idara fulani anamwita mhusika kutoka idara husika au taasisi husika kutoa majibu stahiki.

Kwa hiyo hapo kila mtu atahusika kujibu maswali na kutoa ufafanuzi pale eneo lake kikazi litaguswa na wananchi kwa kuulizwa maswali.

Ndio maana tunasema CCM Ndio yenye majibu ya maswali ya wananchi.ukiiona CCM au viongozi wake basi fahamu kuwa chochote utakachouliza lazima upate majibu na suluhisho. Tofauti na CHADEMA ambao wao kazi yao huwa ni kupiga porojo ,uzushi ,uongo na kulalamika muda wote bila kuwa na shirikisho ya jambo lolote lile.

Ndio maana wananchi wanafurika sana kwenye mikutano ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe Paul Makonda kwa kuwa wanajuwa ndio Mashali pekee unapoweza kupata majibu ya jambo lolote lile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom