ubadhirifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Upigaji unaanza mdogo mdogo unaangaliwa likibuma inaundwa kamati ya uchunguzi

    Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji. Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati inatumia pesa za walipa kodi. Tuwe macho huu ni upigaji hatujaona wizara za mambo ya nje zikajikita...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bashe yupo ukingoni, hakupaswa kupambana na wadau wa sukari

    Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama. Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo. Waziri Bashe hakupaswa kupambana na wadau wa sukari kwa aina ile ya kiburi na majivuno! Kwa kuanzia alipaswa...
  3. Mr Looser

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Rushwa na Ubadhirifu

    Mapendekezo ya Mabadiliko Katika Kudhibiti Rushwa na Ubadhirifu Nchini Tanzania Katika Miaka 25 Ijayo Rushwa na ubadhirifu ni changamoto kubwa zinazokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo," ni muhimu kuchukua hatua madhubuti na za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kutokomeza rushwa

    Ili kutokomeza Rushwa ni vyema serikali kufanya utoaji wa ajira zote 'nje na zile za uteuzi' upitie kwenye mfumo mmoja (TAMISEMI) pia wafanyakazi wa TAKUKURU ni wachache wako maofisini na rushwa ziko mitaani basi nivyema kuajili watu maalumu hata wa siri wawepo katika mitaa yetu ili kubaini kwa...
  5. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mawaziri Serikali ya Awamu ya Sita wamekuwa na Utajiri wa ghafla usio kifani

    Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa...
  6. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kuvuma kwa watoto wa Marais Awamu ya Nne na ya Sita Taasisi ya Urais haioni kama inatia aibu?

    Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi! Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
  7. J

    JamiiForums Tanzania RITA yabaini ubadhirifu wa tsh billion 1 Msikiti wa Ijumaa Mwanza

    Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi nchini Rita umebaini ubadhirifu wa tsh billion 1 Msikiti wa Ijumaa Mwanza na hatua za kisheria zimeshaanza kuchukuliwa Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Rita Frank Kanyusi Source Mwananchi My take; Kumbe Ufisadi hadi...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upuuzi mkubwa: Inakuwaje Rais asiyekubalika anashinda uchaguzi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?

    Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%. Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi. Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji.. Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania iitake VOA kuomba Msamaha kwa habari yake ya Uzushi na Uongo

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu. Hii ni kwa kuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnasubiri muagizwe na nani kumchunguza Mbarawa tuhuma za Rushwa mikataba ya EPC+F?

    Nimesoma gazeti la leo la Mwananchi Juni 1, 2024 ukurasa wa mbele lina kichwa kisemacho, Bajeti ya Ujenzi Mnyukano hoja ya Mdee na Mawaziri watatu kuhusu mikataba iliyosainiwa na Profesa Makame Mbarawe ya kujenga barabara kilomita 2,035 kwa kiwango cha lami kwa utaratibu wa EPC+F. Mbunge wa...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania January Makamba amefuta mradi wa kujenga Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa KICC na kuja na miradi ya upigaji ya kujenga magorofa nchi za nje

    Mwaka Jana Serikali ya Tanzania ilisema inaenda kufufua Mradi mkubwa wa kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kitaifa Kwa jina la Kilimanjaro International Convention and Exhibition Centre-KICC Arusha ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua Washiriki zaidi ya 3,000 Kwa Ajili ya kushindana na Kenya...
  12. Leak

    JamiiForums Tanzania Makonda ataka watumishi wa Monduli waliokwapua milioni 52 kupitia mashine za POS wapelekewe moto kwelikweli

    Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya! Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa kuzilipa pesa hizo na hadi sasa hawajafanikiwa kuzilipa! Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha...
  13. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ifanye manunuzi, malipo na usimamizi wa fedha za miradi kidigitali ili kuzuia ubadhirifu na Rushwa katika ngazi zote

    UTANGULIZI Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara nyingine baadhi ya miradi kukwama kutokana na uhaba wa fedha kwa sababu ya ubadhilifu. Chanzo kikubwa...
  14. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maeneo matano ya kimkakati ambayo serikali inaweza kuyawekea mkazo kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma na rushwa

    1.IUNDWE TUME YA UDHIBITI UBORA WA MIKATABA NA USHAURI KWA SERIKALI (National Commission for Contracts Review and Consultation) Iwe taasisi huru yenye jukumu la kupitia mikataba yote ya kimkakati inayohusu fedha za umma. Taasisi hiyo ihusike kuchambua kwa kina mikataba yote kwa mapana yake na...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Halmashauri wilaya ya Hanang atupwa Jela miaka ishirini kwa ubadhirifu

    Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bw. PETRO MICHAEL MURAY. Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la ubadhirifu kosa ambalo ni kinyume na kifungu cha 28(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi na Maafisa 6 wa AICC wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu

    Wakurugenzi na Maafisa 6 wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) wamesimamishwa kazi kwa muda kuanzia Aprili 3, 2024 ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Baadhi ya tuhuma hizo ni pamoja na kukiuka taratibu na kanuni za uendeshaji wa Mashirika ya Umma...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu aliobainisha CAG, nani alaumiwe?

    Ndugu wanajukwaa habari zenu. Kumekua na tabia ya kumshukuru mama hata umeme uliporejea jana baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kama wakazi wa Daresalam wamemshukuru mama. Imekua kasumba serikali ikifanya shuhuli za maendeleo anasifiwa mama. Mbona akikopa hamsemi amekopa mnasema serikali...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Aliyekuwa Mhasibu Mapato Same afungwa jela Miaka 20 kwa Ubadhirifu

    Machi 19, 2024 shauri la uhujumu uchumi Na 23/2022 dhidi ya PAULO NGILORITI TEVELI limeamriwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mbele ya Mhe Hellen Hozza, likiendeshwa na wakili Suzan Kimaro. Mshtakiwa ambaye alikuwa Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, ametiwa hatiani na...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa umefanya kazi gani kushughulikia kero za wananchi wakati Mwenezi Makonda amefanya mpaka kliniki za kusikiliza kero zianzishwe?

    Mchengerwa anaongelea kushughulikia kerozipi kubwa wakati Mwenezi Makonda anakutana na watu kadha wa kadha wakiwa na kero lukuki mpaka zinaanzishwa kliniki za kusikiliza kero hizo? Sekta zote zimevuliwa nguo na Mwenezi Makonda mpaka Mawaziri mnaonekana mifugo halafu unasema umefanya kazi kubwa...
Back
Top Bottom