Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini...
Yale majimbo ambayo ccm wamejipa ushindi, wananchi October 28, 2020 nendeni mkampigie kura Tundu Lisu
Kwasababu ccm tayari wameshajipa ushindi, hawachaguliki
Kumbukeni wao watateuana na ndio utamaduni wao
Tundu Lisu anaomba kura zenu, msije ziharibu kwa kuwapigia ccm ambao wamesha shinda...
Ma-CCM, mabibi na mabwana.
Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.
Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na...
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.
Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
Ndugu wapendwa salaam, leo wakati nawaza nani wa kumpigia kura, pamoja na kuona TAL anaweza kuongoza nikiwa na maana ya kusimamia katiba na Sheria za nchi kuongoza kama Rais jambo ambalo ni udhaifu wa mgombea wa CCM JPM , wakati udhaifu wa TAL ni kwamba tusitegemee maendeleo makubwa ya kiuchumi...
Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu...
Na: George Kabadi
Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili.
MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu...
Mkutano: Maelfu ya watu Wilayani Misungwi wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Tundu Lissu
Nitaweka link ili mumfuatilie live akiwa Misungwi muda huu.
Wakuu najaribu kuweka link inagoma ila mkutano upo live ndani ya Dar mpya online tv
Lissu anasema hivi
1. Wagombea wote wa Chadema ngazi ya...
Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio.
Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika
========...
Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao.
Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais.
Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi...
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
Wana JF;
1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs.
2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
Karata nyingine ya ushindi kwetu ni kuungana na kuomba ili mpenda haki na amani, mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aweze kushinda kwa kishindo hapo Oktoba 28.
Huu ni wito kwa watakatifu wote, wapenda haki, wapenda amani, wapenda usawa, na wapenda kweli kuungana na kumwombea Lissu...
Naendelea na mada zangu za Kumuunga mkono Ndugu Tundu Antipasi Mughai Lissu kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kwa sababu namuelewa. Ili kuweka kumbukumbu sawa mimi sio mwanachama wa CHADEMA wala CCM na wala mimi siamini katika ITIKADI za chama cha CHADEMA. Tofauti yangu...
Kwanini ninafikiri Tundu Lissu anatosha zaidi ya Magufuli?
Kuna watu ambao wanasema kwamba KURA ya MTU ni siri.Pamoja na hayo ni lazima niweke rekodi sawa sawa ili kila mtu atambue kwamba Ulipofika wakati wa kuhesabiwa nilisimama na kuhesabiwa.
Mimi sio Mwanachama wa chama cha CHADEMA na hii...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu.
Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania katika mji wa Katoro Jimbo la Busanda.
Mkoa wa Geita ni nyumbani kwa mgombea wa CCM John Magufuli...
Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki.
Kuna lile kundi linalokata shauri dakika za mwisho. Mara nyingi hawa ni watu wenye shughuli zao, wasomi, wakulima na...
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.