tundu lissu

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Magufuli na sengeli, Tundu Lissu na Reggae

    Kuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa Reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kuleta watu pamoja. Muziki wa sengeli ni muziki wa kihuni, wa watu waliopoteza tumaini, wasio na dira wala mwelekeo. Maudhui ya sengeli ni matusi...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kwamba Tanzania inawahitaji wote, Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja akishinda mwingine awe PM

    Moja kwa moja kwenye mada... Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda. Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ambassadors meeting with Tundu Lissu should also meet with other presidential candidates

    I do not know the motive behind about the meeting of Tundu Lissu, the Chadema presidential candidate with ambassadors representing their countries in Tanzania. Is the meeting called upon by the said ambassadors or Tundu Lissu himself? In the letter released yesterday by the American...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

    Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

    Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi...
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu v/s Bernad Morrison, hapa hakuna namna ya vibaraka kuhamisha attentions za watu?

    Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana. Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

    Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
  10. shululu

    JamiiForums Tanzania Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

    Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam ====== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na IGP Sirro waheshimu viongozi wa Chadema akiwemo Tundu Lissu. Kwanini wanadhalilishwa kana kwamba wao ni watu baki ktk nchi yao?

    Je, jeshi la Polisi wanaheshimu viongozi wa Chadema? Je, IGP Sirro anawaheshimu viongozi wa Chadema; anamheshimu Tundu Lissu? Tatizo nililoliona ni jeshi la polisi kutokuheshimu viongozi wa Chadema. Kutokana na matukio ya Polisi kudhalilisha viongozi wa Chadema kuwa mengi, naamini wapo...
  12. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli anaweza kuiacha miradi ya SGR na STIGLERS haijakamilika, tafadhali Tundu Lissu uimalizie

    Najaribu kupima upepo wa siasa katika makundi ya kijamii kuanzia CCM wenyewe wengi hawampi Magufuli kura ingawa wanamchekea dharani, Makundi ya wafanya kazi, Wakulima na Wafugaji, Wavuvi na wafanyabiashara hakuna aliye tayari kuipigia CCM kura. Tunakutana nao mtaani hali hali ndivyo ilivyo sioni...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

    Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni. Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au Forward Mkolofi Diego Costa. Sio lazma ujibu au ulumbane kila kitu muda NI machache Sana. Ukipita sehemu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu, Haya ndo mambo ya msingi ambayo wapiga kura tumekuelewa

    Kabla hujaanza kampeni, nchi ilikuwa imekata tamaa. Watu walikuwa wamekata tamaa wakijiuliza ni lini ukombozi wao utakuja. Nchi ilikuwa kilio kila mahali si wa CCM, CHADEMA, CUF wala ACT. Ugumu wa maisha, pamoja na maendeleo yaliyoyaliyofanyika kwa awamu hii bado ukweli uko wazi, ni maendeleo...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro

    Muda huu Tundu Lissu yupo Siha mkoani Kilimanjaro moja ya majimbo sugu yanayotawaliwa na CCM mkoani humo. Hili ndilo jimbo la Agrey Mwanri sambamba na Godwin Molel ambaye alikatwa CCM mwaka 2015 kisha Chadema wakamchukua na akanyakua jimbo hilo kabla ya kuunga mkono juhudi na kurudi CCM alikotokea.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

    “Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu. "Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

    Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa "Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba...
  18. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

    Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye. Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini hati ya maadili ya tume na lolote linalomhusu yeye kuhusu maadili ya uchaguzi ni lazima apelekewe yeye...
  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

    Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alianza kupigania haki siku nyingi, aliwahi kumtetea mzee Nyaswi wa Nyamongo

    Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Back
Top Bottom