Vitisho anavyopokea Tundu Lissu vinatoka kwa wasaidizi wa Rais Magufuli ambao wameshindwa kumwambia bosi wao ukweli.
Wanamdanganya Rais Magufuli kuwa anatukanwa, lakini ukweli ni kwamba Tundu Lissu anasema mambo ambayo yalitakiwa yasemwe na washauri na wasaidizi wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli...
Sijui Polepole wa CCM na wafuasi wake LB7 wa mitandaoni wanaweza kuja na majibu gani katika hoja hizi hapa.
Watu sasa ndiyo wanaanza kupata na kuona ukweli wa upande wa pili wa shilingi wa CCM na Magufuli wao.
Hiki ndicho kilichokuwa kinazuiwa na kufichwa na watawala ili wananchi wasielewe...
Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena.
Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia...
Aisee huu mwaka mambo yamebadilika kabisa.
Hapa ni Mlima Nyoka watu wamekusanyika kupokea ujio wa Lissu ambaye anakadiriwa kuwa umbali wa kilomita zaidi ya 150 kufika hapo walipo.
Ikumbukwe kutokana na msafara wake jana kusimamishwa mara kwa mara alishindwa kuhutubia mwembe togwa Iringa na...
Namfananisha ndugu yangu GENTAMYCINE Na Tundu Antipas Mughway Lissu.
Hii ni kwasababu sifa zote za GENTAMYCINE alizonazo au anazojinasibisha nazo ni za Tundu Lissu.
Mfano
Charismatic fella
Pure talented
Entertainer
Game changer
Hizi sifa zote ni za Lissu. Hivyo sikosei kusema GENTAMYCINE ni...
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.
Lissu CHUMA...
Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro.
Awamu hii ya tano...
1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki
2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili msitu wa Mahambe kua hifadhi ya wanyama.
3. Ni muelewa mzuri wa masuala ya kimataifa, atasaidia...
Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi!
Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua!
Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu...
Tundu Lissu ni mtu mmoja anayejua kujenga hoja sana. Amethibitisha kwamba yeye si mahiri ndani ya nchi tu, bali pia kwenye majukwaa ya kimataifa ambayo yanatisha kwa mtu asiye na uzoefu.
Tofauti na "waandishi" wa habari wa Tanzania ambao hawajui hata kuuliza maswali magumu, waandishi wa habari...
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona.
Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi alivyoamua kukabiliana nayo.
Kamkosoa Magufuli kwa kuwaambia watu wasivae barakoa, ‘kwanza zinafanana na...
Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo.
Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea.
Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates maana maccm ya humu ni kama yamesusa kutuonyesha zile nyimbo za Samia mama lao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.