MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu.
Mh. Tundu Lissu anatarajia kurejea Nchini Tanzania siku ya tarehe 27 Julai mwaka huu baada ya kukaa muda mrefu nje ya nchi akifanyia matibabu kufuatia tukio la kuvamiwa na kupigwa risasi mnamo mwaka 2017.
Aidha, Tundu Lissu alitolewa katika kiti cha Ubunge mwaka 2019 na pia anakabiliwa na mashtaka kadhaa mahakamani.
SOMA: Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa
Zaidi soma
Mr. Tundu Lissu, a former member of the Tanzanian Parliament and a vocal opposition leader, is due to return home on 27 July. Mr. Lissu survived an assassination attempt in 2017 and has since been abroad for medical treatment after being shot 16 times.
Mr. Lissu was stripped of his parliamentary mandate in June 2019. Previously, he had been arrested and charged multiple times for sedition and related offences in connection with public statements he made that were critical of the Government.
After declaring his intention to return to Tanzania earlier this year, death threats have started to appear on social media and in the press. The IPU Committee on the Human Rights of Parliamentarians has been monitoring closely Mr. Lissu’s situation. The IPU Committee recently expressed its deep concern about the attempt on his life, the allegation that the assassination attempt was carried out with the support of the authorities, the revocation of his parliamentary mandate and legal charges brought against him. (Read the decision of the Committee.)
The IPU Committee urges the authorities to ensure that Mr. Lissu receives the necessary protection and that he is allowed to exercise his rights of freedom of expression and freedom of assembly. The IPU Committee also calls on the authorities to investigate the 2017 assassination attempt to identify and hold to account those responsible.
Chanzo: International Parliament Union