Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa.
Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama...
Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku...
Mimi kama wengine, na kama mgombea pinzani anavyopotosha, mwanzoni nilidhani sera ya majimbo ni ya kufanya maeneo ya watu yajitegemee kikanda au kikabila.
Kumbe maana yake ni kuwa (1) Rais asihodhi maamuzi yanayohusu maendeleo. (2) Viongozi wote wenye maamuzi muhimu kuhusu maendeleo ya mkoa na...
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.
Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Rais Magufuli Mwizi pamoja na MaRais wote waliopita isipokuwa Nyerere.
Yeye ni mwana...
Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu kwa vitambulisho vya Elfu 20!!
=====
Maelfu ya wananchi wa Karagwe wamefurika kwenye viwanja vya...
Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli.
Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia kuambulia maneno ya kukereketa na kejeli.
Wana Kagera walipoomba Chakula wakaambiwa serikali haina shamba...
Tundu Lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.
Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".
Tundu Lissu alisema vitambulisho vya...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba.
Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo.
Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna...
RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
"Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira.
globalpublishers
Nyie Watoto wa...
Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli...
Sasa Jana kama kawaida niakenda kariakoo (Sijaonekana kwa muda)...
Mgombea Urais wa CHADEMA leo ameingia Buyungu na kwenda kwenye kaburi la Hayati Mwl Bilago aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA na kuomba dua ambayo ilikuwa maalum kwa ajili marehemu huyo mpiganaji na kamanda aliyetangulia mbele za haki.
MAPOKEZI YA TUNDU LISU KIBONDO JIMBO MUHAMBWE
Takwimu za Haraka : Idadi ya Watu: Huduma za Kijamii: Maendeleo ya Watu : Maendeleo ya Vitu : source : Mwanzo
Idadi ya Watu kutokana na sensa ya Mwaka 2012 = 261,331
Idadi ya Kata = 19
Number of Villages = 50
Idadi za Shule ya Msingi = 84
Number...
Wadau wanao hitaji kujua jinsi ya kupika maharage
----
Jinsi ya kupika maharage
Kuna njia mbali mbali za kupika maharage lakini kuna moja haitambuliki sana na watu wengi ingawa inahitajika mpishi awe na subira pale anapotumia mbinu hiyo.
Unachohitaji kuwa nacho ni 'Chupa ya chai au...
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu Jana ameingia Kigoma kwa kishindo kikuu.
Alilakiwa na Maelfu Elfu ya watu waliojipanga majiani huku wakitandika mikeka chini shujaa huyo wa karne hii apite juu yake.
Akihutubia umati mkubwa unaokadiriwa kuwa na watu zaidi ya Elfu 30 katika...
Tundu Lissu's campaigning has been excellent - exposing the oppression of the current CCM leadership for all to see. Generally he has reduced attacks on previous leaders and directed his fire on to the current one. That is one of the brilliant tactics, to narrow the field of attack and isolate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.