Mimi stori iko hivi,
Mnamo mwaka 2020 nilianza kuwa na mahusiano na binti mmoja(mcha Mungu sana). Alikuwa anasoma chuo fulani jijini Arusha, nakumbuka hicho kipindi nilifanikiwa kupata tempo mahala fulani( si unajua hela za tempo) so, ikabidi niwe natumia muda mwingi kutembea wakati wa kurudi...