Tukio la kocha Wa Belouzidad kutaka kuzichapa na mchezaji wake, limenikumbusha tukio la Mohamed Hussein na Manula-Novemba 5

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Hii Yanga ipo siku itakuja ifanye watu wazima wazichape tena Live na camera za Azam tena watu wenye heshima zao kama wachezaji na kocha.

Leo kocha alinyakua chupa akataka kumtwanga nalo mchezaji aliekua anaonekana ana mshutumu kocha kua yanayotokea pale uwanjan kosa ni yeye

Hii imenikumbusha Novemba 5 M-Hussein alimfata kwa Hasira Manula akatka kumzaba kibao ila akadundisha Mpira chin kwa kuutupa kwa Hasira,

Gamond angali namna Zile team hua unazipiga 5 wale wachezaji wanawake na watoto.

#USIUMIE HUJALAZIMISHWA
 
hahahahahahahaha umeisahau na KMC
 
Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Kwa timu ipi ya kuwaza nusu fainali?,acha nikuambie kitu mkuu Yanga ana uwezo mkubwa sana narudia tena yanga ina uwezo mkubwa sana kufika nusu fainali kuliko Simba. Hifadhi hii kauli yangu
 
Asante Mkuu yanga hawafurahii Robo wanafurahia Team yao inavyocheza na kutoa vipigo.
 
Kwa timu ipi ya kuwaza nusu fainali?,acha nikuambie kitu mkuu Yanga ana uwezo mkubwa sana narudia tena yanga ina uwezo mkubwa sana kufika nusu fainali kuliko Simba. Hifadhi hii kauli yangu
Asante umenisaidia Mkuu
 
Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Mwakarobo anafikiria namna ya kuvuka nusu fainali?! Asee
 
Back
Top Bottom