Jiehi la plisi mkoani Kilimanjaro,linashilikia simu za kiganjani za mfanyabiashara maarufu mjini moshi(jia tunalo)akihusishwa na tukio la kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindikali kada wa ccm,Idrisa Makishe.
Makishe(38)mkazi wa Bomambuzi Manispaa ya Moshi,yupo kitandani akipambania...
Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
Niaje waungwana,
Waungwana najua wengi humu mnashauku kubwa sana ya kutaka kujua ni kwanini Israel mpaka leo tar 10/10 haijaishambulia Iran, licha ya kusema na kuapa kuwa itaishambulia na kuiangamiza Iran from day one ya shambulizi lile la pili la Iran nchini Israel ambalo lililenga shabaha...
UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza?
Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk.
Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa.
Chanzo...
Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.
Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
Enzi huzo nipo chuo, mida ya asubuhi nimeenda mgahawani kupata supu then niingie zangu pindi.
Basi bwana, nikafika nikaagiza supu nikawa nasubiriwa niletewe.
Sasa kuna vile vitambaa vya kufutia meza vile, mmoja wa wahudumu alifuta meza kisha akaondoka nacho akelekea nacho kwenye sufuria la...
Kwanza nitoe pongezi kwa chombo cha habari cha Wasafi media kipindi kinachoendeshwa na Zembwela, Maulid kitenge (mshambuliaji) na Gerald Hando, kwa kweli kila nikifungulia redio kwenye hiki kipindi na kutana na wazee wa minyama wakikumbusha na kulitaka jeshi la polisi lijitokeze hadharani kuwapa...
Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio.
Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni.
Komando madafu
Miso Misondo
Konki master
Lizer wa Tanzanite
Mandonga mtu kazi
Liquid piere
Aslay na Binti kungwi
Mwanachuo na Mirinda
Bashite na...
Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu?
Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la...
Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine.
Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua.
Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.