tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania TUKIO GANI LILIKUTOA MACHOZI KWENYE MAPENZI??

    Check out,
  2. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu. Bila shaka tutakusikia tena...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Usikose tukio hili la angani tarehe 25 Januari 2025!

    Once in a life time! Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana angani usiku. Bila shaka, utaweza pia kuona tukio hili usiku wa leo, kwani sayari zitakuwa...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sipendezwi na mbinu zinazotumika kuchochea hali ya wasiwasi kwa Tundu Lissu

    Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

    Wakuu, Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali. Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni...
  6. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Je, moto wa california ni tukio lililoandaliwa?

    HilI jambo nazani liko well planned na ma elite wachache wanaojua wanataka kufanya nini. Rejea cartoon film za The Symptons ambazo zilitoka zamani lakini zikiwa na matukio yajayo miaka kadhaa mbele yakiwa yamewekwa katika code na mengine yakitaja maeneo ya tukio, muda na mwaka husika. Eg (Corona...
  7. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Tukio la Nabii Musa kuona Moto unawaka kwenye kichaka cha majani mabichi kujirudia tena tarehe 20&21 Dec2024 nchini Israel Mlima Karkom! Je tulipigwa?

    Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024 Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  9. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Ugumu na uzito wa kupandisha tukio la Tundu Lissu unatoka wapi?

    Nadhani msimamizi na muendesha channel ya CHADEMA MEDIA TV na CHADEMA DIGITAL atakuwa amejisahau kuweka clip ya hotuba ya makamu mwenyekiti chadema,Tundu Lissu akitangaza kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa. Sio yeye tu nadhani hata wasimamizi wa CHADEMA blogs za chama na mabaraza ya chama kwa...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa Iringa yaanzisha huduma ya kujifungua na mwenza, ndugu au mwenza atashuhudia namna tukio la mama akijifungua

    Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa imeanzisha rasmi huduma mpya ya kujifungua, huku ndugu au mweza wako akishuhudia namna tukio hilo linavyotea. Akizungumza na mwananchi ofisini kwake December 10, 2024 Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dk Alfred Mwakalebela amesema huduma hiyo ni mpya katika...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

    TAARIFA KWA UMMA Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima. Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar. Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda...
  15. danhoport

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tukio la uporaji mali limepangwa kufanyika Upanga usiku huu, Polisi wekeni doria

    Nimetoa taarifa kama raia mwema, muda ni usiku kuanzia saa saba nyie wekeni doria, target ni raia mmoja wa kigeni
  16. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akionyeshwa bastola au akisikia mrindimo wa risasi basi hata eneo la tukio hatakanyaga na atakimbia mithiri ya kuvunja miguu

    Tafakuri ya leo. Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa?? Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu?? Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
  17. jblus

    JamiiForums Tanzania Tukio limefanya nitafute mwenza

    N
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tukio gani mtoto wako aliwahi kukufanyia ukashindwa hata kumpiga?

    Watoto wana vituko sana mda mwingine unaweza piga uue mfano huyu wangu aliondoka na rimoti mpaka shuleni tafuta limot tafuta haionekani kaja toka shule kakuta watu wanatafuta rimot ndio anasema nilibeba mimi hii hapa nikamwangalia huna jinsi unamuacha Nyingine Nikiwa mtoto kuna siku niligoma...
  19. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na tukio limeniathiri kiakili kabisa

    Wakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu . NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini huku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo Nika imagine maumivu...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama hili tukio ni la kweli basi iko siku na mimi litanitukia!

    Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha. 1. Ni madini gani hayo? 2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa? 3. Tanzania kuna madini kama hayo?
Back
Top Bottom