Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima.
Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu.
Kwa...
Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni.
Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimelaani shambulio dhidi ya na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima kikisema ni tukio la kihalifu.
Chama hicho kimekwenda mbali na kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wote wa shambulio dhidi ya kiongozi...
Wanajeshi wa Ulinzi wa Wananchi wamechukua eneo iliyokuwa shamba la mifugo la Utegi bila ridhaa kwa kuwa Shamba hili tayari ilikwishagawiwa kwa wananchi wa Vijiji vinavyozunguka shamba hilo. Malipo kwa Serikali iliikwishafanyika na shamba ilikabaki mikononi mwa vijiji hivyo.
Ghafla katika...
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .
TWENDEE KWENYE MAADA.
Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka.
Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia.
Ikumbukwe ana mke na...
Mnamo Juni 10, 1990, Ndege ya British Airways nambari 5390 ilikuwa safarini kutoka Birmingham kuelekea Malaga. Ilipofika urefu wa takriban futi 17,300, tukio la kutisha lilitokea baada ya kioo cha mbele cha ndege kujitenga ghafla wakati ndege ilikuwa ikiruka katika urefu wa juu.
Nguvu ya...
Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel Ilivale, ni tukio linalosikitisha na linastahili kulaaniwa kwa nguvu zote. Tukio hili linavunja kabisa...
Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa.
Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo.
Mimi nitaongelea...
Watu wengi hawana upeo wa kuconnect dots kwa hiyo ngoja niwasanue jambo.
Kuna lile tukio lililotokea kule Mwanza lililomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyejaribu kutumia mamlaka yake vibaya hadi kuzua taharuki kubwa.
Tukio lile halikuwapendeza baadhi ya watu wanaodhani na kuamini wana...
Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition"
Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
Jeshi la Burundi limekanusha ripoti kwamba lilihusika na mashambulizi ya Mabomu huko Bukavu, Kivu Kusini, ambako mkutano wa AFC/M23 ulikuwa unafanyika.
Brigedia Jenerali Gaspard Baratuza, Msemaji wa Jeshi, amethibitisha kuwa hakuna Mwanajeshi wa Burundi ambaye yupo katika mji wa Bukavu.
Hilo...
Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu...
Habari wakuu
Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active.
Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani ya ATM ananiambia chagua lugha, me hapo hata sijui wanabonyeza wapi, akanionesha zile button za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.