Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X:
Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu ukatili ni WATUMISHI WENZENU WA SERIKALI.
Tunaongozwa na WATU waliojaa Damu Za watanzania wasio na...
Kwa nini tofauti na maandiko kutoka Mecca hakuna rekodi nyingine yoyote ya kihistoria duniani kwingine kote kuhusu binadamu mwingine yeyote kuwahi kushuhudia mwezi ukigawanyika vipande viwili kama ilivyoandika katika Surah Al-Qamar 54:1–2?
Hii ni kwa kuzingatia pia kwamba dunia ni sayari yenye...
Museveni siku hizi amelegea, makobaz ameyaachia yanaanza kuzagaa na yanamshika kidevu, hili ni tukio la pili mwanamke kujilipua bomu. Kuna lile la kwanza ambapo mwanamke na mwanaume walilipukiwa na bomu walilokusudia kutumia kulipua Wakatoliki waliokua wamekwenda kuhiji.
Halafu hili soko...
No reforms no election!
Iran piga hao Israel!
Nilikuwa form five ambapo siku moja nilipewa kazi ya kudeki choo cha walimu, bila kufanya ajizi nikachukua ndoo zangu mbili nikaenda bombani kuchota maji.
Nilipotoka bombani wakati nakaribia choo cha waalimu ambalo lilikuwa karibu kabisa na staff...
Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli.
Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes
Public...
Baada ya kuhitimu kidato cha nne ile miaka ya 2000s, nikitokea shule ya bweni, nilimtembea rafiki yangu ambaye tulipohitimu shule ya msingi, yeye alichaguliwa sekondari ya kutwa na mie walau vialama vyangu vilinifanya nipande basi la sumry, kwa mara kwanza na kutua ndani ya hii shule ambayo ni...
Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta
Israel haikushindwa wapata mateka.sema imewatoka kafara ili sasa ipatikane sababu ya kuichakaza Gaza,Hamas na Hirzibollah. Na sasa...
MARA YA KWANZA NAFINYIWA KWA NDANI.
Aliifinyia kwa ndani.... Nlishtuka nikapiga nduru, Aishaaaaaaaaaaaa unafanya nini sasa.... Nikamwaga mzigo woooote... Nikawa kama nimezimia. Ile kelele nlitoa wacha. Wakati huo kanikalia..... Alikuwa kachuchumaa akasugua akasugua akasugua... Nlipoanza...
Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki.
RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe
Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule...
Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana.
Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu.
Aisee hawa jamaa...
Nilimsajilia line kwa jina langu, sasa nimegundua ananificha mwanaume mwingine... je, msamaha wake ni wa kweli?
Mwili wa Uzi:
Naomba msaada wa mawazo ya kweli kutoka kwa watu waliotulia na waliowahi kupitia maisha haya.
Niko kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye nimekuwa naye kwa muda sasa...
Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone marrow.
kama mnaweza kufatilia mtafatilia mwanzo mpaka sasa.
Sasa askari wamemtafuta sana ila baada...
Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana?
Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana!
Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
Moja kati ya matukio muhimu ambalo nataraji litapewa nafasi, ni kwa hawa manahodha wa vivuko kuandaa kama ki-parade hivi, wakiwa na mavazi yao meupe, kofia zao, huku wakipunga bendera ya taifa kuashiria kwamba wamekamilisha kazi yao ya kishujaa kwa uaminifu na uzalendo mkubwa, na sasa wanawaaga...
Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha.
Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho mzuri wa story ya Simba katika mashindano haya.
Mutale alianza msimu vibaya na mimi ni mmoja wa watu...
Hii si picha ngeni miongoni mwetu.. Tumeshaiona mara nyingi tuu.. Tukasikitika kidogo kisha maisha yakasonga
FIKIRIA HILI KWA TAFAKURI Simba hakumwona kamwe hakumuona mtoto… alichoona yeye ni mawindo.. lakini mtoto aliona kila kitu...!
Katika maisha yasiyo na huruma ya...
https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam
CHADEMA YAPATA BALOZI
Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo...
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?
Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.
Move imekuja kuharibika kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.