tujikumbushe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya Bakwata Oktoba hadi Desemba 1968 (Sehemu ya 4)

    Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU. Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa. BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya tatu

    Hadi kufikia juma la kwanza la mwezi wa Desemba, mikoa mitatu kati ya kumi na saba ilikuwa tayari imeshajitenga kutoka EAMWS. Kile kikundi cha Adam Nasibu kikaunda kamati kwa ushirikiano na Kamati ya Maulidi ya Dar es Salaam, Adam Nasib akiwa Katibu. Kamati hii ikaitisha mkutano Ukumbi wa...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya pili

    Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’ Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa ambayo tayari ilikuwa imekwishajitenga na EAMWS. Mkutano huu ulifanyika katika shule ya Kiislam ya...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

    TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA "... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo. Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru. Ieleweke hapa kuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vita vya pili vya dunia. Kumbe wazungu wanaweza kutwangana hivi?

    VITA VYA PILI VYA DUNIA. Wakati Ujerumani iliposhambulia Poland, nchi hiyo ilikuwa na mikataba ya kulindana na Uingereza na Ufaransa. Hivyo ilibidi Uingereza na Ufaransa zitangaze hali ya vita dhidi ya Ujerumani. Serikali za Australia, New Zealand, Nepal, Afrika Kusini na Kanada zilishikamana...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mambo hatari tunayopaswa kujiepusha nayo hasa ukiwa hapa nchini Tanzania

    Wakuu nimeona leo tukumbushane mambo hatari ya kukwepa hasa unapokuwa ndani ya nchi tukufu Tanzania. 1. Kujihusisha kimapenzi na mke/mume wa mtu. 2. Kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari). 3. Kumpa mimba mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari) 4. Kujihusisha na...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  8. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Mwana FA aiombea Yanga nafasi kucheza Super League, Yanga yalalamika kutoalikwa mkutano wa CAF Arusha

  9. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Yule Askofu mwenye kiburi amepewa Ukuu wa Kanisa

    Mwaka 2018 Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lilitoa waraka wa Pasaka ambao ulikua unakosoa, kuonya na kushauri mambo mbalimbali yaliyokua yakiliathiri taifa kwa wakati huo. Waraka huo ulikua moto kwa serikali ya Magufuli kwa sababu ulikosoa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya...
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Tuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo. Naanza na Sabuni ya Mbuni…
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wale tuliomaliza darasa la 7 mwaka 2000 kurudi nyuma tujikumbushe ilivyokua siku matokeo ya la 7 yanatangazwa

    Wakuu leo nikiwa natafakari mambo mbalimbali ya maisha nikakumbuka maisha ya shule y msingi. Zilikuwa nyakati za furaha ila pia nikahuzunika nilipowakumbuka classmates waliokuwa vizuri sana kitaaluma ila hawakubahatika kusonga mbele na kidato cha kwanza. Zilikuwa nyakati mbaya sana kwa uhaba wa...
  12. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

    Dj Mars Dj Venture Dj Skills Dj D White Dj Juice Dj Nelly Dj Kessy Dj Muli Bring Bring Dj Majizo Di Sam Dj Cutter Dj Jongo Dj D7 Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari Mungu ni Mwema wakati wote!
  14. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo. Ni nani huyu?

    Litania ya ushindi
  15. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe usajiri wa kiungo fundi mkata umeme sawadogo..

    Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi, Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe? Sawa sawa na tumemuacha maestro Andrea piro . Nimeumia sanaa natamani ninywe sumu
  16. U

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Kikwete na uuzwaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) vs Rais Samia na kuuza Bandari zetu

    Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuuza Bandari zetu Kwa waarabu wa Dubai.. Mtindo na ushawishi uliotumika kuaminisha...
  17. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ya wakilishi wa taifa kimataifa msimu uliopita CAFCC

    “Orlando Pirates through to the Semi-Final @SimbaSCTanzania you can burn juju all you want but not in our HOUSE,” Merafe said.
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Simba walitolewa na Jwaneng Galaxy kwa matokeo ya jumla ya 3-3

    Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja. Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
  20. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Video: Tujikumbushe chenga za Musiba

Back
Top Bottom