tujikumbushe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Viungo Wakabaji waliokuja na kuondoka Simba na kumuacha Jonas Mkude

    Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude. Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee Jakaya Kikwete

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga. 1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako 2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
  3. Mgagaa na Upwa

    JamiiForums Tanzania Binadamu tumeumbwa kusahau, hebu tujikumbushe kidogo

    Mikia tunawakumbusha huku
  4. Lu-ma-ga

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe enzi za kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu kazi za kiserikali

  5. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe na Majizi ya Escrow

    Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni mbunge Mpina pekee anayetumia ubunge wake ipasavyo, wabunge mliobaki naomba tujikumbushe majukumu ya Bunge la Tanzania

    Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe safari ya yanga 8 bora CAF confederation cup 2016

    Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja...
  8. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Huyu Bwana namkubali sana

    NINAMKUMBUKA SWAHIBA YANGU
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

    Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi. Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda aache kujiingiza mambo mengi yasiyo maana ikiwemo wasanii Kwa kutaka wamsifie wakati wao wanataka...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe maneno ya zamani ya Kiswahili cha mtaani ambayo yamepotea hayatumiki tena

    Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana. Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa. Kula jiwe- kukaa kimya...
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Binadamu tumeumbwa kusahau,hebu tujikumbushe kidogo

    Ebu na wewe weka swali moja la mawakili wa utetezi kuelekea kwa mashahidi wa michongo.
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

    Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

    Spika Ndugai alimshukia Zitto akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote. Usinichezee mimi nina faili langu Milembe. Karibuni tuanike hapa ubabe wa kitu Ndugai
  15. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Embu tujikumbushe kiswahili cha mtaani cha zamani

    Wazee, embu let's reminisce good old days Kishtobe, gangwe, kulakabonyau, arosto, unenge, ubweche....
  16. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe chama kubwa linavyojua kujipanga hii ilikuwa 2002

  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania katunı ya leo Tujikumbushe ya Zamani

    Tujikumbushe ya Zamani
  18. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu, tujikumbushe namna tulivyoishi enzi hizo

    1. Enzi hizo watu tulivaa viraka. Mafundi cherehani walipata kipato kwa kushona viraka. Suruali la baba lilikatwa kaptura za watoto na chupi kadhaa za mama. 2. Enzi hizo watu tulipiga mswaki kwa mkaa. Watu tulivaa kata mbuga. Miguu ilijaa funza wakubwa utadhani mbaazi. Tulikwenda chooni...
Back
Top Bottom