tujikumbushe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Udaku wa JF, Miaka 10 iliyopita.

    Hili jukwaa liliwahi kuwa kama familia kabisa. Leo kwa msaada wa AI chatgpt. Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani. Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe, TANMO , uran na Mentor na Baba V. Pitia baadhi ya Nakala za udaku hapa...
  2. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mbunge huyu aliongea point sana (Tujikumbushe)

  3. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: CCM msikilize Nyerere kuhUsu democracy na tabia ya umalaya malaya WA KISIASA

    CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ilikuwa April 21, Mh Rais akatoa agizo kuwa mishahara ilipwe kuanzia April 14 2023 na ikawezekana vipi Pasaka mwaka huu, wamelipwa?

    Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
  5. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kashifa ya mkurugenzi wa JAYRUTTY watengeneza jezi wapya wa simba sc

  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe tulikotoka, Wasabato Masalia na ndoto ya kwenda kumhubiri Papa Aache 666 na afuate ibada za Jumamosi

    "Wasabato Masalia"....Hawa siku hiyo waliamka Asubuhi na Mission Moja hivi"Kuihubiri Injili Ulimwenguni Pote", wakaenda kupiga kambi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar-es-salaam, wakisubiri safari yao ya kimiujiza kwenda kuhubiri neno la Bwana kule Iraq na penginepo Duniani hii...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Ziara za kushtukiza za Hayati Magufuli

    Mwamba alikua anaibuka tu sehemu na kutimua yeyote ikiwamo Waziri mwenye dhamana. Hakika nimemiss zile moments za taharuki. Aliwahi kumbuka gerez la butimba akakitana na ujinga-ujingabeti Askari jela anadai Mwamba kufika pale NI yeye kuinuliwa
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; je ulipanda haya mabasi miaka hiyo?

    Kama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote. Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Miaka ya 1990 hadi 2000 video za watu kuchinjwa zilienea sana mitandaoni

    Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi zilitengenezwa na kusambazwa na mashirika ya kigaidi yanayoendesha operesheni katika Mashariki ya Kati...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, kihistoria ni kawaida ya Marekani. Sio taifa la kuliamini kwa 100% Tujikumbushe kidogo

    Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono. Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani. Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu Ontario(Sirjeff Denis)

    Je Kuna kitu kime kuinspire kuhusu huyu mwamba ingawa last seen yake ni 2019. Tujuzane wadau
  12. Jackal

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Miaka Hiyo Makolo Walipokuwa Kwenye Relegation Ponapona Yao Waliokolewa Na Mwananchi

    Hii ndiyo Ile tukawambiaga mtani alitaka kushuka daraja kama mnakumbuka 😂😂😂😂😂 Follow #CRIX ORG 🙏🙏
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli hii thabiti ya ndugu Ben Saanane akiwalilia Mashujaa wa taifa hili, dhidi ya Mafisadi

  14. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia: Leo Wilbrod Slaa anataka atetewe, aonewe huruma? All in all, dhamana ni haki yake

    Anaandika Lieratus Mwangombe Yesterday, the High Court ordered the Kisutu Court to hear and process Amb. Dr. Slaa's bond today. Shockingly, President Samia's Govt has maliciously failed to bring Dr. Slaa to court, citing a vehicle breakdown as an excuse. Dr. Slaa has been detained for over 20...
  15. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Hii ni movie gani?

    Tupe maneno mawili matatu kuhusiana na movie hii.
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

    Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0 Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
  17. Faana

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vipimo vya magurudumu ya magari

    Understanding How to Read a Tire is crucial when selecting the right one for your vehicle. Let’s break down tire markings like 205/55R16 91V: 1. Tire Width (205): Indicates the tire’s width in millimeters. In this example, the tire is 205 mm wide. Wider tires usually offer better grip. 2. Aspect...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: "Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwepo tujikumbushe: Mkutano wa Rais Julius Nyere na waandishi wa habari

    Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu. Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi. Sasa akafanya mkutano na waandishi wa habari kusisitiza kuwa Ikulu ni mahali patakatifu. Sasa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    WARAKA WA CHACHA WANGWE. UTANGULIZI. Jumamosi, June 28 mwaka huu wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu ya CHADEMA walidai kuwa wamesitisha Umakau Mwenyekiti wangu katika kikao kilichofanyika mjini Dodoma siku hiyo. Kesho yake Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. FREEMAN MBOWE akaitisha mkutano wa...
Back
Top Bottom