tujikumbushe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unique Flower

    Tuliowahi kusoma Green Acres ya Mbezi tujikumbushe kidogo

    Je, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju? Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani? ~ Je, mshana na wenzie wapo? ~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju?? ~ Je, mnamkumbuka yule mtoto wake Jackline?
  2. MamaSamia2025

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini; 1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
  3. Jackal

    Hadithi: Nitakupata Tu

    NITAKUPA TU SEHEMU YA 001 ********* Alihisi ilikuwa sauti ya mwanamke, sauti ambayo mwanzo alidhani haikuwa ya mwanamke kutoka na usiku ule kuwa vigumu. Lakini sauti ile bado ilikuwa ikisikika katika ngoma za masikio yake. Sauti ya mwanamke akilia na kuomba msaada, sauti ikipiga kelele za hali...
  4. Nigrastratatract nerve

    Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8. Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
  5. Escrowseal1

    Ni jambo gani unatamani ungepata majibu toka kwa kiongozi wako wa aina yoyote ndani ya 2023 ambalo linaongoza kukukera toka 2022?

    Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni; 1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake? Mwenye most...
  6. J

    Tujikumbushe Mdahalo kati ya Ole Sabaya na John Pambalu

    Sikiliza hapa. Hii nchi imetoka mbali sana.
  7. M

    Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

    MASWALI: 1. Hii picha ilipigwa wapi? 2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani? 3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi? 4. Hii picha ni ya tukio gani? Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
  8. vibertz

    Tujikumbushe kauli mbali mbali zilizoletwa humu wakati Yanga akipangiwa Club African

    Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar es salaam. Weka hapa kauli unazokumbuka. Mimi nakumbuka, Walisema safari ya Yanga kimataifa imeishia...
  9. APPROXIMATELY

    Tuliowahi kuvamiwa, kuibiwa au kutekwa na majambazi tujikumbushe

    Nakumbuka ilikuwa 2013, bana wee sitaka nisahau maishani mwangu. Nakumbuka nilipiga kazi kwenye biashara yangu, nikajikusanyia pesa nzuri tu sio chini ya million 2, ghetto nilipapendezesha vizuri sana. Chumba changu kilikuwa pembezoni na mto Arusha eneo nililopewa na wazazi wangu pamezungukwa...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Watanzania tumejifunza nini kutokana na tulichofanyiwa na makampuni haya?

    Namaingo https://www.jamiiforums.com/threads/dc-aagiza-mkurugenzi-namaingo-kukamatwa-kwa-kutapeli-wananchi-4000-na-kukusanya-pesa-zaidi-ya-tzs-bilioni-moja.1438751/#post-26967657 Kijani Kibichi...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mecco Sports Club

    Kikosi kilikuwa na; George Mangula Rashidi Mandanje Gabliel Mwintika Mbaga Mwantiku Charles Makwaza Dannifon Ngesi Abeid Kasabalala John Moses Kanyiki Betwely Africa Efeam Kayeta Nassibu Abbasim Wachezaji wengi Juma Ahmad, Nurdin Kasabalala, nk Mnyama alikula 3 mtungi Mbeya na...
  12. aka2030

    Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Enzi hizo Dodoma washua wote wanaishi uzunguni Watoto wa kishua wanasoma stockley Kina sie tunasoma amani, na mlimwa ambazo ndio zilikuwa shule bora mjini Club ilikuwa ni NK pamoja na shilla disco mitaa ya iringa road Picnic tunajichanga tunaenda pnde za mkalama kule ma miyuji kwenye ile...
  13. aka2030

    Tulioishi Mwanza miaka ya 1990 mpaka 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Miaka ile Mwanza ilikuwa na raha zake Beach lazima uende tunza beach ndio ya kishua. Club zilikuwa deluxe na capricabana ndio za kishua hasa ambapo unakutana na kina dj cutter kidboy huku watoto wa kiswazi wakikutana pale magnum. Tape music za nje tulikuwa tunanunua pale boom explosion...
  14. Mganguzi

    Tujikumbushe kidogo kifinyo hiki cha Polisi huko Zanzibar

    Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
  15. Greatest Of All Time

    Tujikumbushe wachezaji waliosajiliwa pesa nyingi kisha wakaflop

    Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
  16. R

    Tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili tuweze kuishauri Serikali

    Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa . Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
  17. J

    Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  18. J

    Tujikumbushe msimamo na kura ya Othman Masoud Othman ktk Bunge Maalum la Katiba

    ..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba. ..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo. ..Kwa hiyo Othman Masoud alikuja kutokea bungeni siku ya kupiga kura kama mnavyomshuhudia hapo chini.
  19. Greatest Of All Time

    Tujikumbushe Viungo Wakabaji waliokuja na kuondoka Simba na kumuacha Jonas Mkude

    Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude. Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
  20. M

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee Jakaya Kikwete

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga. 1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako 2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
Back
Top Bottom