Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,427
21,120
Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013

............................
WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea
kifo, Utafikiri hawafahamu fika
kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye
maisha yangu nimepitia mambo
mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience
mambo magumu zaidi kadri
ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni
nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa
kifedha , ki umri na hata wenye
ukubwa wa connection katika hii
industry ya muziki. Wanaomiliki
chombo cha habari.

Nasimama na kusema kuwa
sitokata tamaa, kwani lengo lao
kubwa ni kuona na kuhakikisha
nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.

Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu
mwenye maamuzi yangu na
misimamo yangu bila kuburuzwa.

Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote
unakatika, na hiyo ni kutaka
kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwawa hakuna msanii anaeweza ku
survive bila wao.

Mimi ni msanii tofauti na hao
mnaofikiria.

Nadhani mnafahamu tangu
niachane na Tuzo zenu mnazo
influence nani apate nani asipate,
na tangu niachane na Fiesta
nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho
na kuamua kuunda Band ili nijiajiri
na kupata shows zangu
mwenyewe, ikafanikiwa sana
jambo ambalo limewauma na
kuamua kufanya kitu cha
kuiangusha Band yangu.

Nita survive kwa njia zozote
MUNGU alizonipangia.

Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi
kabisa, Naamini fika hawataweza
kunipenda hata siku nitakapokuwa
nimekufa.

Na huu ndio wosia wangu kwa
watu hao.

Natambua wanaweza kutumia
redio yao kutangaza sana kifo
changu na kusema marehemu
alikuwa mtu mzuri na pengine
kupiga nyimbo zangu kuanzia
asubuhi mpaka jioni.

Ila naomba nitamke hivi, siku
nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo
zangu, wala isiongelee lolote
kuhusiana na kifo changu
Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu na mkiwaona muwapige wame enyi mtakaokuwa hai baada
yangu.

Kama wamenifitini, na
hawajanipenda nikiwa hai
Hakuna haja ya kujifanya
kunipenda nikiwa marehemu.
Sina haja wanipende pia kwakuwa
mimi sio ndugu yao, Ila ubaya
wanaoundeleza mioyoni mwao
wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.

Niliamua kujiepusha nao miaka
mingi na kufanya biashara zangu,
nimekaa kimya watu wanafikiri
nabebwa lakini sijabebwa
chochote sikutaka ugomvi haya
mambo yalianza baada ya Album
yangu ya pili ya Binti mwaka 2003
nilipojitoa Smooth Vibes chini ya
Ruge.

Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku
yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.

Na hii ni kwasababu wanaogopa
msanii akiwa mkubwa
watashindwa kumuamrisha,
Hamuwezi kumiliki dunia..

Kama mnasema mlinibeba mbona
hamkuwabeba dada zenu wa
tumbo moja waimbe ili hela irudi
nyumbani?

Kama kweli wewe
Kusaga unajua kubeba basi beba
jiwe liimbe liwe star.

Kwa roho zenu mbaya mnaweza
kumbeba mpita njia nyie?

Talent haibebwi, hujibeba kama
mnabisha si mna watoto wabebeni
basi wawe kama kina Diamond
ndio nitaamini kweli nyie mnaweza
kubeba watu.

Mnawatishia wasanii kuwa yoyote
atakaefanya nyimbo na mimi
hazitapigwa, vikao vinne
mmeshakaa kunijadili.

Mnadhani je! nitapungukiwa nini
endapo wasanii wengine wakiacha
kufanya kazi na mimi? nyimbo
hazitakuwa nzuri.

Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni
nani, Binadamu nani?

Kwahiyo mtaamrisha watu pia
wasikae na mimi?

Ilikuwa niseme majina matatu
huyo mmoja nimemsamehe baada
ya kugundua sio hiyari yake ila
yuko under influence ya hawa
jamaa wawili.

Kila siku mnamsingizia Ruge peke
yake Kusaga ni mfitini kuliko hata
huyo Ruge, watu hamjui tu.

Mtu hela zote hizo bado shillingi
mbili ya Jide inakuuma?

Roho gani hiyo?
Naishia hapo na sitabatilisha kauli
NI MIMI JIDE
.................................

Hii aliandika LADY JAYDEE kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii 2013.
 
Jasiri muongoza njia amezingua bigtime, ukiachilia mbali kukunja kwa ladyjayD bila kajali ndo superstar alietuburudisha sana watoto wa 00s, ile siku nimemsikia analia kwasbabu ya demu nikajua hapa tumepoteza askari mmoja
 
Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013

............................
WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea
kifo, Utafikiri hawafahamu fika
kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye
maisha yangu nimepitia mambo
mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience
mambo magumu zaidi kadri
ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni
nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa
kifedha , ki umri na hata wenye
ukubwa wa connection katika hii
industry ya muziki. Wanaomiliki
chombo cha habari.

Nasimama na kusema kuwa
sitokata tamaa, kwani lengo lao
kubwa ni kuona na kuhakikisha
nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.

Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu
mwenye maamuzi yangu na
misimamo yangu bila kuburuzwa.

Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote
unakatika, na hiyo ni kutaka
kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwawa hakuna msanii anaeweza ku
survive bila wao.

Mimi ni msanii tofauti na hao
mnaofikiria.

Nadhani mnafahamu tangu
niachane na Tuzo zenu mnazo
influence nani apate nani asipate,
na tangu niachane na Fiesta
nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho
na kuamua kuunda Band ili nijiajiri
na kupata shows zangu
mwenyewe, ikafanikiwa sana
jambo ambalo limewauma na
kuamua kufanya kitu cha
kuiangusha Band yangu.

Nita survive kwa njia zozote
MUNGU alizonipangia.

Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi
kabisa, Naamini fika hawataweza
kunipenda hata siku nitakapokuwa
nimekufa.

Na huu ndio wosia wangu kwa
watu hao.

Natambua wanaweza kutumia
redio yao kutangaza sana kifo
changu na kusema marehemu
alikuwa mtu mzuri na pengine
kupiga nyimbo zangu kuanzia
asubuhi mpaka jioni.

Ila naomba nitamke hivi, siku
nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo
zangu, wala isiongelee lolote
kuhusiana na kifo changu
Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu na mkiwaona muwapige wame enyi mtakaokuwa hai baada
yangu.

Kama wamenifitini, na
hawajanipenda nikiwa hai
Hakuna haja ya kujifanya
kunipenda nikiwa marehemu.
Sina haja wanipende pia kwakuwa
mimi sio ndugu yao, Ila ubaya
wanaoundeleza mioyoni mwao
wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.

Niliamua kujiepusha nao miaka
mingi na kufanya biashara zangu,
nimekaa kimya watu wanafikiri
nabebwa lakini sijabebwa
chochote sikutaka ugomvi haya
mambo yalianza baada ya Album
yangu ya pili ya Binti mwaka 2003
nilipojitoa Smooth Vibes chini ya
Ruge.

Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku
yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.

Na hii ni kwasababu wanaogopa
msanii akiwa mkubwa
watashindwa kumuamrisha,
Hamuwezi kumiliki dunia..

Kama mnasema mlinibeba mbona
hamkuwabeba dada zenu wa
tumbo moja waimbe ili hela irudi
nyumbani?

Kama kweli wewe
Kusaga unajua kubeba basi beba
jiwe liimbe liwe star.

Kwa roho zenu mbaya mnaweza
kumbeba mpita njia nyie?

Talent haibebwi, hujibeba kama
mnabisha si mna watoto wabebeni
basi wawe kama kina Diamond
ndio nitaamini kweli nyie mnaweza
kubeba watu.

Mnawatishia wasanii kuwa yoyote
atakaefanya nyimbo na mimi
hazitapigwa, vikao vinne
mmeshakaa kunijadili.

Mnadhani je! nitapungukiwa nini
endapo wasanii wengine wakiacha
kufanya kazi na mimi? nyimbo
hazitakuwa nzuri.

Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni
nani, Binadamu nani?

Kwahiyo mtaamrisha watu pia
wasikae na mimi?

Ilikuwa niseme majina matatu
huyo mmoja nimemsamehe baada
ya kugundua sio hiyari yake ila
yuko under influence ya hawa
jamaa wawili.

Kila siku mnamsingizia Ruge peke
yake Kusaga ni mfitini kuliko hata
huyo Ruge, watu hamjui tu.

Mtu hela zote hizo bado shillingi
mbili ya Jide inakuuma?

Roho gani hiyo?
Naishia hapo na sitabatilisha kauli
NI MIMI JIDE
.................................

Hii aliandika LADY JAYDEE kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii 2013.

Hahaaaa kwenye hili bifuu namkumbuka wacky ass n***ger Mwana FA alivyokuwa akitumiwa.

Wananchi wa handeni wamepigwa!
 
Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013

............................
WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea
kifo, Utafikiri hawafahamu fika
kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye
maisha yangu nimepitia mambo
mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience
mambo magumu zaidi kadri
ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni
nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa
kifedha , ki umri na hata wenye
ukubwa wa connection katika hii
industry ya muziki. Wanaomiliki
chombo cha habari.

Nasimama na kusema kuwa
sitokata tamaa, kwani lengo lao
kubwa ni kuona na kuhakikisha
nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.

Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu
mwenye maamuzi yangu na
misimamo yangu bila kuburuzwa.

Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote
unakatika, na hiyo ni kutaka
kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwawa hakuna msanii anaeweza ku
survive bila wao.

Mimi ni msanii tofauti na hao
mnaofikiria.

Nadhani mnafahamu tangu
niachane na Tuzo zenu mnazo
influence nani apate nani asipate,
na tangu niachane na Fiesta
nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho
na kuamua kuunda Band ili nijiajiri
na kupata shows zangu
mwenyewe, ikafanikiwa sana
jambo ambalo limewauma na
kuamua kufanya kitu cha
kuiangusha Band yangu.

Nita survive kwa njia zozote
MUNGU alizonipangia.

Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi
kabisa, Naamini fika hawataweza
kunipenda hata siku nitakapokuwa
nimekufa.

Na huu ndio wosia wangu kwa
watu hao.

Natambua wanaweza kutumia
redio yao kutangaza sana kifo
changu na kusema marehemu
alikuwa mtu mzuri na pengine
kupiga nyimbo zangu kuanzia
asubuhi mpaka jioni.

Ila naomba nitamke hivi, siku
nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo
zangu, wala isiongelee lolote
kuhusiana na kifo changu
Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu na mkiwaona muwapige wame enyi mtakaokuwa hai baada
yangu.

Kama wamenifitini, na
hawajanipenda nikiwa hai
Hakuna haja ya kujifanya
kunipenda nikiwa marehemu.
Sina haja wanipende pia kwakuwa
mimi sio ndugu yao, Ila ubaya
wanaoundeleza mioyoni mwao
wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.

Niliamua kujiepusha nao miaka
mingi na kufanya biashara zangu,
nimekaa kimya watu wanafikiri
nabebwa lakini sijabebwa
chochote sikutaka ugomvi haya
mambo yalianza baada ya Album
yangu ya pili ya Binti mwaka 2003
nilipojitoa Smooth Vibes chini ya
Ruge.

Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku
yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.

Na hii ni kwasababu wanaogopa
msanii akiwa mkubwa
watashindwa kumuamrisha,
Hamuwezi kumiliki dunia..

Kama mnasema mlinibeba mbona
hamkuwabeba dada zenu wa
tumbo moja waimbe ili hela irudi
nyumbani?

Kama kweli wewe
Kusaga unajua kubeba basi beba
jiwe liimbe liwe star.

Kwa roho zenu mbaya mnaweza
kumbeba mpita njia nyie?

Talent haibebwi, hujibeba kama
mnabisha si mna watoto wabebeni
basi wawe kama kina Diamond
ndio nitaamini kweli nyie mnaweza
kubeba watu.

Mnawatishia wasanii kuwa yoyote
atakaefanya nyimbo na mimi
hazitapigwa, vikao vinne
mmeshakaa kunijadili.

Mnadhani je! nitapungukiwa nini
endapo wasanii wengine wakiacha
kufanya kazi na mimi? nyimbo
hazitakuwa nzuri.

Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni
nani, Binadamu nani?

Kwahiyo mtaamrisha watu pia
wasikae na mimi?

Ilikuwa niseme majina matatu
huyo mmoja nimemsamehe baada
ya kugundua sio hiyari yake ila
yuko under influence ya hawa
jamaa wawili.

Kila siku mnamsingizia Ruge peke
yake Kusaga ni mfitini kuliko hata
huyo Ruge, watu hamjui tu.

Mtu hela zote hizo bado shillingi
mbili ya Jide inakuuma?

Roho gani hiyo?
Naishia hapo na sitabatilisha kauli
NI MIMI JIDE
.................................

Hii aliandika LADY JAYDEE kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii 2013.
Muda wote alioutumia kuandika ni dalili ya kuogopa kifo, vinginevyo angetumia dakika chache tu na kuhitimisha safari yake.
Bwana alitoa na Bwana angetwaa.
 
Back
Top Bottom