TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,840
- 4,481
CHAUMMA wanalalamika Salum Mwalimu kawaibia mabilioni, najiuliza waliyapata wapi hayo mabilioni? Au ni malipo ya ule mradi wao na CCM, huyu Mwalimu ndio swahiba wake DJ na hii ndio ilikuwa michezo yao kabla hawajanyonyolewa na TAL pale city FEB 21.
Anyway toaneni makende, naona mzee Hashimu anatoa milio sana,hao walikuja kikosi cha uhuni kilichokamilika baada ya kukutana na moto.
Anyway toaneni makende, naona mzee Hashimu anatoa milio sana,hao walikuja kikosi cha uhuni kilichokamilika baada ya kukutana na moto.