Hakim matatani kwa tuhuma za ubakaji

Hakim matatani kwa tuhuma za ubakaji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,908
Reaction score
6,494
Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha.

Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris Saint-Germain kwa kumbaka nyumbani kwake katika eneo la Paris mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 24. Hakimi amekanusha tuhuma hizo tangu mwanzo.

Mahakama ya rufaa ya Ufaransa imekataa rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kufikishwa mahakamani, hivyo kesi hiyo sasa itaendelea kusikilizwa katika mahakama ya jinai. Hata hivyo, tarehe ya kuanza kwa kesi bado haijatangazwa.

Hakimi amesema anasubiri kwa hamu kusikilizwa kwa kesi hiyo ili aweze kutoa upande wake wa simulizi hadharani, huku mawakili wake wakisisitiza kuwa hana hatia.

#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
 
Kimenuka, Mwanaume akijiepushe na maswala ya Mbunye anakuwa ameepuka mambo mengi sana
 
Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha.

Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris Saint-Germain kwa kumbaka nyumbani kwake katika eneo la Paris mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 24. Hakimi amekanusha tuhuma hizo tangu mwanzo.

Mahakama ya rufaa ya Ufaransa imekataa rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kufikishwa mahakamani, hivyo kesi hiyo sasa itaendelea kusikilizwa katika mahakama ya jinai. Hata hivyo, tarehe ya kuanza kwa kesi bado haijatangazwa.

Hakimi amesema anasubiri kwa hamu kusikilizwa kwa kesi hiyo ili aweze kutoa upande wake wa simulizi hadharani, huku mawakili wake wakisisitiza kuwa hana hatia.

#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
Hawa mastaa huwa wanabakaje?
 
Kwahiyo ili Tobo toka 2023 bado lina ute wa hakim.! Njaa mbaya
 
Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha.

Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris Saint-Germain kwa kumbaka nyumbani kwake katika eneo la Paris mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 24. Hakimi amekanusha tuhuma hizo tangu mwanzo.

Mahakama ya rufaa ya Ufaransa imekataa rufaa yake dhidi ya uamuzi wa kufikishwa mahakamani, hivyo kesi hiyo sasa itaendelea kusikilizwa katika mahakama ya jinai. Hata hivyo, tarehe ya kuanza kwa kesi bado haijatangazwa.

Hakimi amesema anasubiri kwa hamu kusikilizwa kwa kesi hiyo ili aweze kutoa upande wake wa simulizi hadharani, huku mawakili wake wakisisitiza kuwa hana hatia.

#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
Huu uonevu hatutakubali. Hizi tuhuma dhidi ya Hakimi ni chuki. Hatutakubali Ashraf Hakimi kuonewa. God bless and protect Ashraf Hakimi.
 
Wanamuonea tu hao wanawake wa kizungu ni matapeli tu. Bure kabisa.
 
Saa nyingine waeza kuta ni yule aliyezikosa zile mali ambazo zilisomeka kwa jina la Mama ake Hakimi basi akaamua atengeneze tukio.

All in all muda ndio utasema ukweli.
 
Wanamuonea tu hao wanawake wa kizungu ni matapeli tu. Bure kabisa.
Kuonewa sio ukweli, ila hawa mabinti wa kizungu huwatumia kama uchochoro wa kupiga pesa. Rejea ya Mendy wa Man City na Thomas Partey.
Karim Benzema na Ribbery walishiriki kupiga mtungo hata hivyo,, Benzama
 
Ulaya/mbele raha sanaa yaani 🙌🏾

Ubakaji wao jinsi unavyokuwa
Mnakubaliana mnatongozana mnaongana na kukubaliana date na mnaenda siku mnapanga mka-sex, ndani ya chumba, mnaandaana mpafanya sex kama inavyotakiwa na mnarudia round hata tano, mkimaliza siku ingine mnakutana tena na mmafanya

Ubakaji wao ni very soft sio huku africa

Then likija swala la kubaka inategemea umri wa binti au watu wanataka wakuchafue kisa wewe ni star au umemwaga bint
 
Kesi zote za mastaa za ubakaji ni za kutengeneza
Ronaldo
Karim Benzema
Eto
Na wengine wengi
Karim Benzama hakusingiziwa ilikuwa ni ukweli. Yeye na Ribbery walimchukua bonti na kupiga mtungo. Ribbery alikiri ni kweli tukio lilitokea ila binti hakuwa under age, Benzema alikanusha kuhusika.
Mwaka 2014, mahaka ya Ufaransa iliwaachia huru kutokana na kukosekana ushahidi wa kutosha kama walikuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu umri wa
 
Mtu maarufu mwenye hela anabaka! Mwanamke anabakwa hapigi hata kelele hatoi taarifa polisi
 
Back
Top Bottom