tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Rungwe, Award Karonga akamatwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai. Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kijana mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Chuo Kikuu Huria (OUT): Tunachunguza tuhuma za Wahitimu wetu wa Mahafali ya 44 kudaiwa kufoji matokeo ya mitihani

    Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa - Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT)...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mathias (25) afikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limesema kuwa, jana Desemba 30,2025 lilimfikisha Mahakamani Mathias Fabian John (25) kwa tuhuma za mauaji ya Samli Napone (42) aliyekuwa fundi ujenzi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linapenda kuujulisha umma kuwa tarehe 30.12.2025 lilimfikisha mahakamani mtuhumiwa...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Henry Mboya alikamatwa kwa tuhuma za jinai zinazomkabili. Alikutwa na bastola bandia na koti moja lenye nembo ya SUMA JKT

    Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hizi propaganda mnazoeneza kuwa Hayati JPM alikumbatia mafisadi ni upuuzi. Jibuni tuhuma zenu. Why DP world? Why Nepotism.?

    Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao. Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao. Kuhusu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ambwaga Harbinder Sethi Mahakamani tuhuma za kumkashfu na kumvunjia heshima mbele ya umma

    Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP). Pia soma > Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh...
  11. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tuhuma Vs Amani

    My people, Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako? Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Marry Timotheo ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake, alikuwa anamuadhibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
  13. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

    Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia: 1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality). 2. First...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu madai ya Polisi kupewa amri ya kuua raia: Mwigulu ahoji Polisi wengi pia walikufa, nani alitoa amri wauawe?

    Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani! Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi Mbeya lakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tunachokiona, tuhuma kuwa Abdul na mama yake waliingiza makontena ya silaha ni sahihi

    Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli Samuya na mwanae Abdul waliingiza makontena mengi ya silaha kwa ajili ya kuua watoto wa Tanganyika...
Back
Top Bottom