Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,461
- 9,470
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na kupigwa risasi kichwani.Mafwele alihusishwa na hizi tuhuma.
Leo ametekwa Kada wa Chadema. Mafwele anahusishwa na hizi tuhuma. Lakini rais ambae anatakiwa kulinda uhai wa raia wake kama amiri jeshi mkuu yupo kimya.
N.b kuandika Rais Samia sio kwamba nakubali alipigiwa kura halali na Watanganyika ile Oktoba 29.