Viongozi na wataalamu wa TRA, TCRA na NIDA shirikianeni msiwe kama mpo nchi tofauti. Inavyoonekana hamuishauri serikali ipasavyo kwa kutokushirikiana kwenu.
Serikali inapata kiasi kikubwa cha fedha kama kodi kupitia miamala inayofanyika kupitia mitandao ya simu. Kufungwa kwa laini za simu hata...
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha miaka minne imeongeza mapato yake na kufikia Sh. trilioni 58.3 Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo, aliyasema hayo jana wakati akizungumzia mafanikio ya miaka minne tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, na kueleza kuwa katika...
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996.
TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali za Serikali Kuu na Ushuru mbalimbali.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matatizo mbalimbali...
Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi.
Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
Uchaguzi 2020 wale mpendao kujaza fomu za kugombea udiwani,ubunge na uraisi kuwa kazi zenu zinazoweza kipato ni wafanyabiashara wa chochote jiandaenini na Mahesabu yenu ya kodi mlizolipa
Mnaojaza kwenye fomu kuwa Ni wakulima muwe tayari kuonyesha mashamba yenu mnayolima yanayowafanya muishi...
Wiki mbili zilizopita nimefanikiwa kulala hotel nne tofauti. Lengo si kuwasema lengo ni watu walipe kodi nchi iendelee. Katika hotel zote hakuna hata moja inayotoa risiti za TRA na unalipa 85000+.
Nikianza na hii ya five star hapo Darajani nyingine kule Nungwi. Nyingine iko pale Kilimani...
Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu.
Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu.
Tuamke sasa kumsaidia Rais.
La pili, kuna...
Habari,
Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam.
Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
Nimekutana na huu uzi ... Kwamba PCCB iko mbioni kuzimulika TRA na ZRB kwa kuihujumu serikali katika kukusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi kielektroniki e-RCS, kwa kuuzima mara kwa mara na kumdanganya Rais Magufuli kwamba umeharibika, kumbe TRA na ZRB na maafisa wa wizara ya fedha...
kila nikitizama picha na kuunganisha dot juu ya mnada wa makontena ya makonda na hatima yake naona kuna kamchezo pale!! mnada unashindikana kwa mara ya pili kwanini unashindikana??
sababu kubwa ni watu kutofika bei elekezi kutoka TRA. kwanini hawafiki bei? jibu ni moja mzigo hauna thaman...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA
Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali
Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.