tra

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA. Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa. Chanzo: ITV habari. My...
  2. P

    JamiiForums Tanzania TRA na kampeni mpya ya ku-block Tansad za Walipa kodi

    Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport. Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mtapata kura za watumishi wa TRA na BOT na familia zao tu, ambao mliwapandishia mishahara kwa zaidi ya 300%

    Toka serikali ya awamu ya 5 imengia watumishi wa umma zaidi ya laki 5 hawakuwahi kupandishiwa mishahara wala madaraja lakini kuna kundi la watumishi wachache sana nchi hii wameneemeka na serikali ya awamu ya 5, watumishi hao ni wa Mamlaka ya Mapato Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania. Serikali ya...
  4. jamii01

    JamiiForums Tanzania Urasimu mwingine, Afisa wa TRA anakukadiria kodi akiwa ofisini bila kutembelea biashara yako

    Huu ni upumbavu mwingine mwingine wa maafisa wa TRA anakukadiria kodi akiwa ofisini bila kutembelea biashara yako, makadirio yanakuwa makubwa, ukilalamika anakwambia andika barua ya kuomba kupunguziwa kodi. Baada ya hapo anakwambia kodi haipungizwi kwa kuandika barua tu, mpaka tufike tuone...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania TRA Arusha wametumwa na CHADEMA?

    Tangu jana TRA Arusha,wanasambaza massages kwa wafanyabiashara wote wa Jiji hili la Arusha. Mwisho wa mwezi September 2020 wafanyabiashara wanatakiwa kulipa SDL,VAT & kodi ya mapato awamu ya 3 na kodi za wafanyakazi vinginevyo adhabu kali ikiwemo riba zitatozwa. Biashara ktk mji huu...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania TRA, NEC na Msajili wa vyama watuambie hili bango kama limesajiliwa na kulipiwa kodi

  7. T

    JamiiForums Tanzania TRA mnachangia kumchonganisha mgombea wetu na wafanyabiashara. Mikoa yote mnatangaza mitaani kwa vitisho Sept. 30 mwisho kulipa kodi bila faini

    Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi

    Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia hasara mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ya shilingi milioni 48. Geoffrey Kilimba, amesomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu mkazi mfawidhi Godfrey Kusaya na...
  9. Tabutupu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

    KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania) KRA: Kenya Revenue Authority TRA: Tanzania Revenue Authority Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020) KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh) TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh) Sababu ni hizi hapa. Matumizi duni ya teknologia (ICT)...
  10. mgt software

    JamiiForums Tanzania TBS, TCRA na TRA washindwa kuisaidia Serikali kuondoa spea feki za Simu. Mafundi simu waishia lockup wasijue lakufanya

    Wana Jf Serilikali kupitia ajent zake za kitaifa kwa pamoja wanaungana kuikosesha mapata serikali na kuleta mtafaruku mkubwa kati ya mafundi simu na wateja wao. TBS, TCRA na TRA zilivyoshindwa Nazi zao kila moja nitaelezea makosa yao TBS wameshindwa kuajiri vijana wenye weledi kutambua vitu...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania TCRA, TRA na Mamlaka zingine za Serikali hazipaswi kulaumiwa

    Natumaini mko salama. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kuhusu mamlaka za kiserikali hasa zinazolaumiwa zaidi. Kwa muda mrefu Mamlaka hasa TCRA na TRA zimekuwa zikitupiwa lawama wanapofanya kazi zao kwa mujibu wa sheria. Binafsi naona hawastahili kulaumiwa endapo hakuna...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Moto wateketeza mabanda ya biashara Mwenge TRA

    Moto mkubwa umewaka nyuma ya TRA Mwenge na kuteketeza kabisa vifaa na mali mbambali ziloOkuwemo kwenye vibanda vya biashara. Kitu kilichonisikitisha ni simu za zimamoto kutokupokelewa haraka kama inavyotakiwa. Hata walipopatikana walichelewa kufika eneo la tukio mpaka wananchi wakaamua kujitosa...
  13. Zogoo da khama

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa TRA

    Salaam! Kwa ufahamu wangu kuhusu TRA kama una malimbikizo ya kodi, wanakuja na barua ya wito kisha unakwenda ofisini kwao kwa ufafanuzi. Sasa hili la wafanyakazi wa TRA kwa kushirikiana na Polisi na TISS kuvamia viwanda, magala au ofisi za wafanya biashara usiku wa manane tena siku sio ya kazi...
  14. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania GE2020 TRA Acheni Uhuni huu kipindi hiki cha kampeni

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imeamua kumfanyia kampeni Magufuli kwa style ya aina yake. Kuna gari ya matangazo ambayo sasa hivi iko kariakoo ikiwatangazia wafanyabiashara kulipa kodi. Gari hiyo imepigwa stika za matangazo ya mgombea wa urais Magufuli. TRA acheni uhuni huu mara moja kwani nyie ni...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato - TRA, Nasema Nanyi

    MAMLAKA YA MAPATO- TRA, NASEMA NANYI Na, Robert Heriel Kumekuwa na malalamiko yanayoelekezwa Mamlaka ya Mapato - TRA. Malalamiko ya wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo dhidi ya TRA yamekuwa kama sehemu ya wimbo katika taifa hili. Hii imepelekea baadhi ya wanasiasa kujipatia ujiko kwa...
  16. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Ni sawa/sahihi Kamishna Mkuu wa TRA kuwa Mwenyekiti wa Bodi NMB?

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dr. Edwin Mhede ndiye pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB. TRA ndiye mkusanya kodi na mapato wa nchi hii wakati NMB ni mmoja wa walipakodi. Bodi ya Wakurugenzi ndiyo itoayo maamuzi makubwa ya kikampuni ikiwemo kuteua, kukopa...
  17. James Martin

    JamiiForums Tanzania Lissu ukishinda uchaguzi inabidi uisuke upya TRA ili kukomesha unyanyasaji wa wafanyabiashara

    TRA ni chombo cha ukusanyaji kodi ambacho pia kinapaswa kufanya kazi vizuri na wafanyabiashara ili kuwapa ari ya kuendeleza uchumi wetu. Cha kushangaza ni kwamba wafanyabiashara sasa wanaiona TRA kama chombo cha ukandamizaji. Kwa kuwa serikali ya sasa imefeli kuisimamia TRA kuimarisha mazingira...
  18. E

    JamiiForums Tanzania TRA mwiteni Lissu ajieleze kuhusu ninyi kufanya unyang'anyi kwa kutumia silaha

    Mheshimiwa Tundu Lissu alivyokuwa Mbeya aliituhumu TRA kwa kufanya unyang'ani wa kutumia silaha, aliueleza umma kuwa kuna wafanyabiashara walishikiwa bastola ili wawape hela kutoka kwenye account zao. Siamini haya yanaweza fanyika katika uongozi wa Dr Mhede huku ni kumchafua. TRA sio chama cha...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya baadhi ya wafanyakazi wa idara kwenye Makampuni Binafsi ziwe na wafanyakazi wa Serikalini

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Baada ya kuona jitihada kubwa za Serikali kusimamia mapato na kukusanya kodi ikiwa ni pamoja na kutambua mchango wa wafanyakazi kutoka Sekta Binafsi na zile za umma, sasa ni muda muafaka awamu hii pia ijaribu kufikiria kama itafaa kufanya hivi: Makampuni...
Back
Top Bottom