tra

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

    Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali. Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa? Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao? Tatu Riba ambayo iko kwenye...
  2. Jeff

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ukokotoaji wa ushuru wa gari TRA

    Habari wandugu! Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age). Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mnaua biashara na mzunguko pia wa pesa

    Ndugu zangu TRA mimi naomba niwaambie ukweli mnauwa biashara siwafichi nasema ukweli ukweli mtupu. Mnauwa biashara na mnaenda kuuwa secta ya fedha kabisa. Hivi mnajuwa watu wanatoa pesa bank na hawataki kusikia akaunti? Hivi mnajuwa hizi estimate mnawapa watu zinawafanya kufunga biashara na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRA yatoa maelekezo jinsi ya kujilinda na COVID-19 wakati wa kupata huduma

  5. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kichere: TRA imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kwa miaka minne

    Kichere: TRA imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kwa miaka minne ==== Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikipitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka mitano, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema imeshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji mapato kwa kipindi hicho...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imepokea zaidi ya maombi 650 kutoka kwa wafanyabiashara wakiomba kufunga biashara za maduka na hoteli za kitalii kutokana sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu walizozieleza ni watalii kusitisha safari zao za kuja kutalii na kupanda Mlima...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TRA yabambikia makampuni kesi za Uhujumu uchumi, kupitia risiti zenye makosa miaka 10 na zaidi iliyopita

    Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka return zenye risiti ambazo mashine zake VAT haitambuliki, hapa nilijiuliza maswali ya msingi; 1. Je...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  9. Anti-Corona

    JamiiForums Tanzania Kipi kinaendelea kwa nafasi za kazi zilozotangazwa na TRA kupitia utumishi

    Habari wanajamvi, kuna Nafasi takribani 18 zilitangazwa na UTUMISHI za mamlaka ya mapato TRA katikati ya mwezi wa pili mpaka sasa ni kama mwezi mmoja na wiki moja kuna hali ya ukimyaa ambapo sio kawaida ikachukua muda mrefu kiasi hiki bila watu angarau kuwa shortlist. Swali langu la msingi je...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maembe aiomba BASATA na TRA kutowatoza kodi wasanii kwa muda huu wa zuio la mikusanyiko

    Msanii wa muziki wa asili Vitali Maembe aliyewahi kutamba kwa kibao cha ‘Suma ya teja’ ameiomba serikali kuwasaidia wasanii kwa kipindi hiki cha marufuku ya siku 30 kama alivyotangaza waziri mkuu Maembe ameiomba Wizara, BASATA NA TRA kuwapa unafuu wasanii kuwa kutowalipisha kodi kwa mwezi huu...
  11. Janja PORI

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  12. joshydama

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu pindi unapotaka kusajiliwa kama mlipa kodi TRA (TIN application)

    Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kulalamika kuhusu usumbufu pindi wanapoenda kuomba kujisajili na namba ya mlipa...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA Dr. Edwin P. Mhede, awanasa Wachina waliotaka kumpa rushwa ya dola 5,000/=. Wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 1 kila mmoja

    Jana mida ya saa sita mchana ofisini kwa Kamishna mkuu wa TRA alipokea taarifa kutoka kwa watumishi mwenzake sio wa mamlaka ila mtumishi wa umma akimueleza kwamba kuna wateja walitaka kumuona, wana maswala yao ya kikodi wakidai kwamba wamewakadiria kodi kubwa kuliko wanavyopaswa kulipa kwa hiyo...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi

    MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha. Rugemalira aliyaeleza hayo...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi TRA kupandishwa kizimbani

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) mkoani Dodoma, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kosa la kushawishi na kupokea rushwa ya Sh milioni moja. Rushwa hiyo inadaiwa walichukua kutoka kwa mfanyabiashara wa jijini...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afuta mnada wa mazao wa TRA

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefuta mnada wa nafaka, ulioendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Januari 7 mwaka huu. Ameagiza uongozi wa mamlaka hiyo, kutangaza upya zabuni, baada ya kutoridhishwa na taratibu zilizofanyika awali. Mnada huo unahusisha mahindi tani 5,000 na ngano tani...
  17. Kilele9

    JamiiForums Tanzania TRA, NIDA na TCRA zishirikiane

    Viongozi na wataalamu wa TRA, TCRA na NIDA shirikianeni msiwe kama mpo nchi tofauti. Inavyoonekana hamuishauri serikali ipasavyo kwa kutokushirikiana kwenu. Serikali inapata kiasi kikubwa cha fedha kama kodi kupitia miamala inayofanyika kupitia mitandao ya simu. Kufungwa kwa laini za simu hata...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

    Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi. TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza. Hawa wawili ndio mashetani...
  19. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tril. 58.3/- miaka minne ya Rais Magufuli

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha miaka minne imeongeza mapato yake na kufikia Sh. trilioni 58.3 Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo, aliyasema hayo jana wakati akizungumzia mafanikio ya miaka minne tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, na kueleza kuwa katika...
  20. dubu

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

    Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali za Serikali Kuu na Ushuru mbalimbali. Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matatizo mbalimbali...
Back
Top Bottom