Kulikoni TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini

keshaulo

Member
Jan 7, 2020
51
125
TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini, tangu juzi hakuna system benki tumeshindwa lipa mpaka jana ndo imekubali, sasa leo hatujapata hata CRO malipo hayaonekani na tunataka kutoa mizigo tunafanyaje?
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,162
2,000
TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini, tangu juzi hakuna system bank tumeshindwa lipa mpka jana ndo imekubali, sasa leo hatujapata hata CRO malipo hayaonekani na tunataka kutoa mizigo tunafanyaje?
Aisee hii ni mbaya sana kwa uchumi wa nchi, TRA boresheni miundombinu yenu ya system
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
766
500
TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini, tangu juzi hakuna system bank tumeshindwa lipa mpka jana ndo imekubali, sasa leo hatujapata hata CRO malipo hayaonekani na tunataka kutoa mizigo tunafanyaje?
Unaweza ukapiga simu TRA ukaongea na mtu yoyote hata commissioner na ukamueleza tatizo lako. Contacts zote ziko kwenye website yao, pia wana customer call centre

Kuja kuwauliza TRA kupitia hapa jukwaani ukitegemea kupata jibu ni ufahamu mdogo
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,047
2,000
TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini, tangu juzi hakuna system bank tumeshindwa lipa mpka jana ndo imekubali, sasa leo hatujapata hata CRO malipo hayaonekani na tunataka kutoa mizigo tunafanyaje?
Just to add on this,sijui ina relationship na hii kivipi....

NCHI HAINA DOLLAR KWENYE BANKS ZAKE!

NO DOLLARS!

ALL commercial banks kufanya TT ni kwa foleni,somthing is wrong with the dollar volume!

My dude in TZ gave me this fact!
 
keshaulo

Member
Jan 7, 2020
51
125
Unaweza ukapiga simu TRA ukaongea na mtu yoyote hata commissioner na ukamueleza tatizo lako. Contacts zote ziko kwenye website yao, pia wana customer call centre

Kuja kuwauliza TRA kupitia hapa jukwaani ukitegemea kupata jibu ni ufahamu mdogo
Sidhani kama ni ufahamu mdogo kuna issue ngapi zinapita hapa na zinapata solution? wewe ndio ufahamu wako mdogo, usiiunderate Jamii forum, kama huna cha kuongea kaa kimya tu, salamu zitafika tu.
 
kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
226
250
Unaweza ukapiga simu TRA ukaongea na mtu yoyote hata commissioner na ukamueleza tatizo lako. Contacts zote ziko kwenye website yao, pia wana customer call centre

Kuja kuwauliza TRA kupitia hapa jukwaani ukitegemea kupata jibu ni ufahamu mdogo
Lakini, kwani wao hawajui wajibu wao? Haya mambo ya kukumbushana kumbushana ni quite old fashioned!
 
kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
226
250
YQUOTE="Wyatt Mathewson, post: 35861152, member: 469317"]
Just to add on this,sijui ina relationship na hii kivipi....

NCHI HAINA DOLLAR KWENYE BANKS ZAKE!

NO DOLLARS!

ALL commercial banks kufanya TT ni kwa foleni,somthing is wrong with the dollar volume!

My dude in TZ gave me this fact!
[/QUOTE]
Yeah!! People were used to black markets!! Now the issue is very clear.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom