Kwa Wataalamu wa Kodi na mambo ya Biashara au TRA

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Wadau sana, habari zenu?

Naomba kuuliza, kama mimi ni Consultant/Mtalamu nafanya kazi zangu na mashirika yasiyo ya kiserikali na napata angalau kamkate ka nyumbani, wale wanao nipatia kazi hunikata 5% ya malipo yangu je hii iko sawa?
2. Je, natakiwa kuwa na leseni ya biashara mimi kama mimi hata kama sina kampuni?
3. Je, natakiwa kufile Returns za Mwaka au wakishakata ile 5% tumemalizana nao
4. Je, natakiwa niwe na ile machine ya EFD

Nashukuru sana wana Jamvi kwa mwongozo.
 
1.Hapana sio lazima kuwa na leseni ya Biashara. Consultant anaweza kuwa mtu yeyote. Ila muhimu kuwa na TIN
3.Sheria zetu zinamtaka mkusanyaji kufile returns
4.Hapana labda kama umesajili kama kampuni
 
Back
Top Bottom