Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku
Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia
Na pia ninahakika, Sheria...
Kama nilivyowaomba ushauri kwenye post yangu ya 8/1/2021 nikitakiwa kuchagua kati ya gari tajwa hapo juu na kampuni moja ya ujenzi kama fidia ya deni nililowadai kwa muda mrefu bila malipo.
Nawashukuru sana wana Jf na members wa forum hii kwa ujumla kwa mchango wenu wa ushauri , maoni na mawazo...
Juzi kuna mdau aliandika kuwa mitihani ya usaili wa Tax Officers wa TRA umevuja na walikuwa wanasove pepa wakiwa kwenye magari kuelekea Dodoma kwenye usaili. Sasa sekretariet imesema usaili umeahirishwa bila hata kutoa sababu zinazoeleweka.
Kuna kaharufu ka uozo hapa.
Pia, Soma=> Mtihani wa...
Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni maana ndo waajiri ambao wana uhakika wa kulipa mishahara na kuhudumia timu kwa uhakika.. ZAMBIA na...
Hii nchi mazingira ya biashara bado ni magumu sana.
TRA bado ni kikwazo sana kwenye mazingira bora ya kufanya biashara Tanzania, jamaa wana ukadiriaji wa kukomoa vile na bila kuwekeza kwenye ujanja janja huwezo toboa.
Nimefuatilia certficate kwa ajili ya biashara yangu, nimepata usumbufu sana...
Arusha. Shahidi wa tatu wa Jamhuri, Ramadhan Ayubu Rashid (26) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, jinsi mwenye duka alivyolazimishwa aseme hatoi risiti na watu waliokuwa eneo hilo, huku akimtambua aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Shahidi huyo ambaye ni...
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania.
Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso. Kafungulia wabambikiwa kesi wote,kalegeza baadhi mambo ambayo mtangulizi wake alikuwa amekomaa...
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita.
Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015.
Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
Habari za leo.
Ukiwa ni tarehe 30/06 asubuhi toka saa kumi na mbili asubuhi system ya kupokea taarifa iko chini na inachukua muda mrefu sana kuload.
Tunaomba mfanye jambo ili matakwa ya kisheria yatekelezwe. Sheria inataka mpaka tarehe 30 sasa kufanya system iwe na issue wakati tunajua...
T.R.A PUNGUZENI FOLENI ZISIZO NA MAANA
Hakuna sababu yoyote ya Maana ya wamiliki wa magari ya biashara kwenda TRA kupanga foleni kwa ajili ya Makadirio ya kodi za Mapato. Magari yote yanaeleweka na kazi zake zinaeleweka.
Mfano kwa magari ya Mizigo ya ndani yatozwe kodi kulingana na uwezo wa...
Mhe. Waziri Mkuu Hongera kwa kazi nzuri, sisi Watanzania tunakupa Hongera kwa kazi nzuri unazoendelea kuchapa. Hongera kunyoosha TANESCO, Bandari, EPZA nk.
Kwa sasa mulika TRA mitandao yao mingi ya utoaji Control namba na TIN namba haifanyikazi kama zamani. Tangu Jumatatu ya wiki hii TIN namba...
Swali la kipima joto la leo
Ipi haja ya kuwepo kwa TRA kama wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo.
Je, kuna haja ya kuendelea kusomesha watanzania shahada za mambo ya kodi (Taxation)?
Je, fedha za kuwalipa hao wanaoelimisha zinatoka kwenye mfuko upi? Je, kwanini...
Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
Habari za muda huu wakuu, I hope mko poa.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?
Yaani mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA?
Kama ndivo nijipange make nimeona...
Habari za Jumapili!
Leo napenda kuwahusia TRA Dodoma na Tanzania nzima kwa ujumla!
Naomba msikae ofisini, chukueni mda wenu kutembelea maeneo ya biashara iwe Kwa kusema au kwa kutosema, ili muone na kufanya ufuatiliaji juu ya matumizi ya mashine za Efd.
Nimekuwa Dodoma tena kwa wiki nzima na...
Nchi hii sijui imelaaniwa wapi, ni juzi tu Rais wetu mpendwa Mama Samia aliwaonya Task forces TRA waache kutumia nguvu kudai kodi lakini usiku huu wamevamia Mpo Afrika bar iliyopo Temeke na kubeba crates za bia wakiwa wameambatana na polisi wengi wenye silaha.Hivi unapomvamia biashara ya mtu...
Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.