tra

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TRA yafanikiwa kukusanya Tsh. Trilioni 5.151 ktk robo ya kwanza ya mwaka

    Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imeripoti kufanikiwa 94.3% katika malengo ya kukusanya Tsh. Trilioni 5.462 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2021/22 Taarifa imesema hiyo ni sawa na ukuaji wa 17.4% ambao umechangiwa na ukuaji wa ulipaji kodi kwa hiari hasa kwa wachimba madini na mawasiliano na...
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nina malalamiko dhidi ya Human Resources Officer wa TRA

    Unajua TRA ni wazembe sana. HR wa TRA alikua na doc za mama yangu toka amestaafu 24/5/2021 na amekaa nazo tuu hajazipeleka PSSSF hadi jana tarehe 01/10/2021. Sasa hii ni haki kweli kwa mtu aliyestaafu akitegemea alipwe mafao. Human Resource officer anakaa na documents mezani kwake to mwezi wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini TRA watatangaza kuomba usajili wa clearing and forwarding services?

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Naomba kuuliza ni lini applications za shughuli tajwa zitatangazwa.
  4. Molleli

    JamiiForums Tanzania TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilitaka kuzungumza Kiswahili kwenye Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa ila sikuwa na Mkalimani kwenye msafara

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kiswahili kimekua kiasi cha kuweza kutumika kimataifa hali ambayo ilimfanya atake kuongea kiswahili alipokuwa akihutubia mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa(UNGA) Hata hivyo amesema katika msafara hawakuwa na mkalimani na hawakujiandaa kwa hilo, hivyo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe gharama za kufanyiwa auditing ya TRA ktk kampun

    Habari,ninataka nifanyiwe mahesabu ya kampuni yangu naomba nijue gharama zake. Nawasilisha
  7. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
  8. Martine Joseph Siwa

    JamiiForums Tanzania Clearing & forwarding agent available

    Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya mwezi sasa tangu utumishi walipoahirisha usaili wa TRA pale Dodoma bila Majibu

    Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree. Lakini baada ya kufanya written siku ya 09/08/21 UTUMISHI wakatoa tangazo la kuahirisha...
  10. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

    Umofia kwenu. Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara. Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za...
  11. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

    TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  13. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania ELIMIKA: TRA wanaangalia Mwaka au Bei au Model?

    TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU? Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo. Kwa ufupi ni kwamba Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TRA iangalie gharama za kupitisha Parcel Posta, zinaua Shirika

    Kwa ajili ya kufufua shirika letu la posta Napendekeza kuwe na mfumo rahisi na unaoeleweka wa ukokotoaji wa gharama za kupitisha parcel ndogo ndogo mf: Mtu akiagiza simu moja kwa ajili ya matumizi alipie gharama za posta na 18% VAT kusiwe na gharama nyingine Kwa sasa unaweza...
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

    Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso. Walikuwa wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania TRA: Nyumba za nyasi hazitatozwa

    My Take Ndugu wananchi kama mnaona huyu mama hafai,acheni kulalamika.mwambie atoke
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TRA kodi ya jengo na Withholding Tax zinatakiwa ziwe na uamuzi sawa

    Withholding Tax ni kodi anayolipishwa mpangaji kwa niaba ya mwenye nyumba kwa kigezo cha urahisi wa kuikusanya kupitia mpangaji! Na TRA ikimshauri mpangaji amdai mwenye nyumba ili amrejeshee alicholipa! Je, hili linawezekana? Hapana, huku ni kuporwa kwa kulazimishwa. TRA inapokuja na kauli...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami. Rejea hapa. LUKU 37212843355 990022123320138178 1.5KWH 0029 2493 0496 3524 7260 Cost 409.84 VAT 18% 73.77 EWURA 1% 4.10 REA 3% 12.29 Debt Collected 4,500.00 TOTAL 5,000.00 Kweli Umeme...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

    Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
  20. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi Juu ya Tozo za Majengo kupitia mfumo wa kununua Luku

    Kuanzia leo Agosti 20, 2021 rasmi serikali imetangaza kuanza kukusanya kodi ya majengo kupitia ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku. Ni wazo jema lakini limegubikwa na utata, ni wakati sasa wa serikali kujitokeza hadharani na kutolea ufanunuzi na kujibu hoja hizi hapa chini: 1. Tozo ya majengo...
Back
Top Bottom