tra

  1. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuongeza wigo wa kodi na makusanyo: Serikali ibuni vyanzo vipya na Mkurugenzi Mkuu wa TRA na waajiriwa wapya wa TRA waajiriwe kwa mikataba

    Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu kukusanya kodi bali wanataka zaidi kukusanya kodi zisizo na usumbufu/changamoto kama PAYE, VAT na...
  3. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania USHAURI: TRA ianze kutoa Takwimu za Mapato kila mwezi ili kwendana na kasi ya Rais Samia

    Salaam TRA. Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi langu kwa TRA, kindly update the nation. Mmekusanya sh ngapi Mwezi Aprili?
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali kupitia TRA iwakamate wananchi wanaotoka kununua vitu bila risiti

    Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi. Yaani unamkamata unamuweka ndani then anatoa pesa kulingana na mzigo alionunua...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, fanya haya TRA

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Kama nilivyosema hapo awali Mama, mimi kama Mtanzania niliyekuwa nimejitoa kumuunga mkono Magufuli kutokana na Sera na ufedhuli wa Awamu ya Tano na ambaye sasa baada ya kuona uelekeo wako mzuri, nimeamua kukuunga mkono, leo hii napenda...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

    Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking). I tell this is the only...
  7. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania TRA tafadhali angakieni upya huu utaratibu wa kitambulisho cha machinga

    Mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo,nayajua maumivu tunayo yapitia sisi wajasilia mali wadogo.Natambua uwepo wa wafanya biashara weye mitaji mikubwa ambao wamejigeuza kuwa machinga kwa lengo la kukwepa ulipaji kodi. Hata hivyo wapo wengi ambo ni machinga halisi,pia wapo pia ambao hapo awali...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Spika usiruhusu wabunge waongo waongo kuchochea chuki, Mbowe alisema biashara zake zimefungwa na TRA

    Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni. Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake zimefungwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya tsh 2 bilioni ambayo anaipinga. Mbowe aliongea...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TRA mmeshindwa kuwa wabunifu?

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Leo napenda kuwaletea hili swali, Je mmeshindwa kabisa kurekebisha mfumo wa mashine zenu za EFD??? Hili tatizo la mashine zenu kutokufanya kazi kwa mtandao kutokuwepo hamjui kuwa mnaikosesha nchi mapato makubwa sana??? Hivi kwa Jinsi...
  10. hp4510

    JamiiForums Tanzania Mwenye utaalamu na mambo ya kodi ya magari

    Salaam, Nimenunua gari Zanzibar, Nimeambiwa ushuru wake ni milion 28 kuileta Dar. Kuna mtu mwingine kanambia naweza kupata punguzo kama nitaongea na TRA na kuandika barua. Swali langu ni je hilo jambo ni kweli lipo na linawezekana? Kwa wale watu wenye utaalamu na mambo ya TRA au ambao...
  11. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Chris Lukosi katoa ushauri mzuri jinsi TRA wanavyokosa mapato

    Yeereeeeeh! Chris Lukosi Mfanyabiashara Mtanzania maarufu Uingereza ametoa ushauri mzuri kwa TRA na kusikitika jinsi wanavyokosa mapato mengi kupitia bandarini. Anasema alitoka bandarini huko Uingereza akahesabu magari 250 kwenye meli yaliyokuwa yanaletwa bandari ya Dar na Mombasa. Kati ya...
  12. Donyongijape

    JamiiForums Tanzania Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

    Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia. Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti...
  13. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

    Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi. Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March. Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Katika suala la Mbowe, TRA mmeanikwa 'ukwarukwaru' wenu

    Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi. Sasa mmeanikwa. Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa ukusanyaji kodi". Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi. Ni kwa sheria...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere alikuwa mkuu TRA, anayajua vizuri madudu yote ya TRA

    Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo. Ubambikaji kodi Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki. Kufungia biashara. Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli. (NB alikuwa mhasibu TANROADS)
  16. Peasant educator

    JamiiForums Tanzania TRA ishirikianae na Taasisi za Serekali kutanua wigo wa kodi

    Maoni tu, Kuna Basata mpaka leo hawana music streaming app ambayo watu wanaweza upload content na kuuza na wao kupata kodi. Eg one record ikiuzwa for 100 Tsh which is reasonable, kwa watu 1m ni 100m in revenues. Kuna wasanii zaidi ya mia TZ. Bado na taasisi nyengine, tuchangie kwa wote colabo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  18. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) ana mtihani mkubwa sana akifanikisha hili anastahili tuzo

    Upande mmoja anatakiwa atumie akili na hekima kukusanya kukusanya kodi kwa maelekezo ya Rais. Upande wa pili ni lengo la trilioni 2 kwa mwezi kwa maelekezo ya Makamu wa Rais. My take: Siku zote mfanyabiashara lengo lake ni kutengeneza faida kubwa hapa naongelea "Big potatoes" au...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya TRA walinyanyasa wageni nyumbani, sasa mama anaangalia

Back
Top Bottom