Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

Navy seal soldier

Senior Member
Oct 6, 2019
148
272
Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo

Naomba kuwasilisha

#stay blessed guys
#merci
 
Technique ni moja tu, ingia nasimu lazima utoboe yani

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Never meet and discuss the written interview ya Utumishi you will be Suprised😂😂😂
mm nafikiri hizi posts si mara ya Kwanza kufanyiwa masahiliano UTUMISHI kwa kwa mujibu wa muanzilishi wa uzi huu lengo Ni kushare experience tu na hints tu katika kufanya maandalizi tu kwa hiyo haimanishi kwamba utapata picha halisi utakayoenda kukutana nayo mule ndani Ila kwa uzoefu wangu mdogo areas of concentration ni Research Qns and Maswala ya Kodi kwa hiyo Ni vema ukajiweka sawa kwenye eangle hzo.
 
Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo

Naomba kuwasilisha

#stay blessed guys
#merci
Yaan mkuu uneomba tu kazi now unapanga kuhusu interview, what if usipoitwa? Au majina yashatoka?
 
Yaan mkuu uneomba tu kazi now unapanga kuhusu interview, what if usipoitwa? Au majina yashatoka?
UTUMISHI as long as unavigezo utaitwa unless otherwise labda kuwe error ndogo katika utumaji maombi na kwa utaratibu wao huwa Kama huna sifa hata kutuma application huwezi kwa hyo kama ukiweza kutuma application basi teyari unazo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom