World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026
"Kuwa na bunge ambalo ni 96% ni chama kimoja huwezi kupata fikra tofauti. Kwa hiyo, wala sio afya wala sifa kuwa na control ya mawazo ya upande mmoja tu."- Amesema Zitto Kabwe
Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu hilo wala kama kuna malipo mengine yatakayofuatia na lini.
Kumekuwa na...
Anonymous
Thread
kidogo
kuhusu
kujikimu
posho
singida
tofauti
tunahitaji
ufafanuzi
watumishi
watumishi wapya
Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga.
Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa...
Hilo ni swali mezani wakuu.
Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano ni kama kwamba wao ndio namba #1 kisha wengine wanafuata, nini sababu?
Hii nazungumzia kwa...
Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu
Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani.
kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut
Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi?
Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa shilingi 1,000 wakati ticket inasoma 900, hili gari konda na dereva wake wanajiona LATRA.
Pia soma ~...
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!!
1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
PUSSY ilikuwa ni CAT/PAKA
SEX ilimaanisha GENDER/JINSIA
BITCH ilikuwa FEMALE DOG/MBWA JIKE
DICK ilikuwa ni NAME/JINA
BANG ilikuwa SOUND/KISHINDO CHA SAUTI
RUBBER ilikuwa ERASER/KIFUTIO
ASS alikuwa ANIMAL/MNYAMA PUNDA
SCREW ilikuwa TOOL/ZANA
HEAD ilimaanisha PART OF BODY/SEHEMU YA MWILI
BALLS...
Mnawafahamu humu waimba pambio wa upande ule kama wanahaga haga kama kuku aliekatwa kichwa.
Wamejawa matusi maana hawana facts.
Wamejawa maandishi ya kutunga maana itikadi zao na waliowatuma wenyewe ni wa kutunga.
Mnawajua wako radhi kuchagua dini dhidi ya uhai wa watu. Watasapoti chochote...
Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha kwamba wao kuendelea kung'ang'ania hayo madaraka itakuwa ni gharama zaidi kuliko faida.
Tukirijelea...
APARTMENTS ZINAUZWA, LOC MSASANI BEACH.
Mango tree residence ni mradi mpya unaojengwa hivi sasa eneo la Msasani beach nyuma ya nyumba ya mwalimu nyerere mikocheni.
Mradi huu ni mradi mpya utakaokuwa na apartment za kisasa (Luxury apartments) Ni mradi Blocks 5 zenye gorofa 17 kila blocks
Mradi...
Tumbili na Ngedere mara nyingi huchukuliwa kama wanyama sawa, lakini kwa lugha ya kawaida ya Kiswahili, Ngedere (Vervet monkey) anajulikana kwa uso mweusi wenye manyoya meupe kando, huku Tumbili (kwa ujumla) akijumuisha aina mbalimbali za kima wenye rangi tofauti. Wote ni jamii ya kima...
Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown”
Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na wakakutana na chuma Uso kwa uso.
Ukiangalia Barabara za TANROAD , hakuna ya kuendesha zaidi ya...
Wakuu,
Narudia tena watz bado tupo fo fo fo
Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi.
Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz.
Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote.
NILIVYOVIONA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.