Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
15,268
Reaction score
47,848
Marriage license
====
Fahamu Zaidi
Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
Screenshot_20260318-161815~2.jpg
 
sio wote, sema walio kosea kuoa

Kabla ya kuoa/kuolewa inabid mkae chini na mwenza wako mkubaliane vitu ving sana.

Kwamba mkilianzisha ndio mpaka mzikane. Hakuna kuishia katkat au kuchokana na kuleteana mapicha picha.

Afadhali ya Waislam.
wakristo kitanz ni kikubwa sana.
Talaka sikuhizi ziko Mahakaman ila mmmh usumbufu ni mrefu na mkubwa.
 
Back
Top Bottom