World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
Anonymous
Thread
chuo
gani
hii
kutoka
miaka
shahada
tofauti
vingine
Single Maza.
Mtoto anakua akijihisi anamamlaka juu ya Kila kitu,l.Hawa kukoselewa kwao ni ishara ya kudharauliwa hivyo ni makosa kwao kukosolewa, hawapendi kukosolewa, wagumu kukubaliana na ukweli pindi mambo yanapoenda kombo .Niwapambanaji na ufanikiwa kwa kiu ya kuwafurahiaha mama zao lakini...
Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa.
Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona.
Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza hivi anawezaje kuvumilia kubanwa na mkojo.
Hii mada nimekuta wanawake wanatusema sisi wanaume kuwa...
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu...
Lowasaa alisema Elimu Elimu Elimu!
Waziri mmoja amesema ana mamlaka kikatiba, akaulizwa tutajie kifungu , akakimbia kusema watakutana mahakamani.
Ifahamike, Watu waliosoma Sheria kwa hapa Tanzani mpaka sasa ni zaidi ya Laki tano 500,000 lakini mawakili ni 14,000 tu Tangu waanze kusajiliwa...
Leo tuanze kuangalia contact zilizomo kwenye simu zetu au tulipo weka kwa njia tujuazo.
Kuna watu wanajisifu kuwa na namba za watu mfano kiongozi ,matajiri,wenye vyeo na n.k
Lakini hizo namba zijawahi kuwa connection yoyote.
Kwa nini msifute
NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA.
Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
Ndio maana hata sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa ya mume mwenye wanawake wengi lakini sio ndoa ya mwanamke mwenye waume wengi.
Hii ni kwa sababu wao wameumbwa kukubali kushea mwanaume. Tofauti na wanaume.
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi.
Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya...
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya...
1. 2006 - 2015
2. 2016 - 2026
Uchambuzi wa vizazi viwili vya JamiiForums (JF) unaonyesha mageuzi makubwa kutoka kwenye jukwaa la wasomi na wachambuzi wazito hadi kuwa uwanja mpana wa kidijitali unaoakisi utamaduni wa sasa wa kizazi kipya nchini Tanzania.
Kizazi cha Kwanza (2006–2015): Enzi ya...
Mimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe.
Majibu ya...
Watu wengi hufanya kazi kwa bidii ili kupata pesa, lakini si wengi wanaojifunza jinsi pesa zinavyofanya kazi. Moja ya misingi muhimu kabisa ya kujenga utajiri ni kuelewa tofauti kati ya Asset na Liability.
Kwa lugha rahisi
✅ Asset ni kitu kinachoweka pesa mfukoni mwako au kinaongeza thamani ya...
Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee.
WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao.
WanaCCM...
INTELLIGENCE vs KNOWLEDGE! (UFAHAMU DHIDI YA AKILI
Ufahamu (au intelligence) ni kitu ambacho mtu au mnyama au kiumbe hai yeyote anazaliwa nacho, hafundishwi na yeyote.
Intelligence ni tofauti na akili.
Akili ni yale maarifa aliyo nayo mtu kwa kufundishwa.
Akili ni zao la jamii iliyokuzunguka...
Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele.
Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje...
sijawahi kukutana na waafrika mwanaume na girlfriend wake au mke wake wawili tu wakisafiri pamoja, ila nimeshakutana na wahindi akiwa na mke wake au girfriend wakisafiri, wazungu ni kama kawaida, nimeshaona wachina mwanaume akiwa na demu wake tu safarini, hata arabs wa gulfs nimeshakutana nao...
Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo;
1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia?
2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza?
Binafsi maswali haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.