tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  2. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Wakili mpenda haki na Wakili mfanya biashara

    WAKILI MFANYA BIASHARA - lengo lake kuu ni kumsaidia mteja wake kushinda kesi, anatumia udhaifu wa sheria au mianya (loop holes) ya sheria, ujanja ujanja na mbinu mbalimbali za kisheria kumsaidia mteja wake kukwepa haki. Anatumia sheria vibaya na hata kutoa hoja za uongo kupotosha Mahakama kwa...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Anaesema TBC wanarusha matangazo yao HD huyo hana tofauti na taahira

    Embu kwanza nicheke Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack Uzi tayari
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kwamba bado kuna waafrika wanaamini kuwa kuna supernatural forces tofauti kati yetu zinazoongoza maisha, ni aibu, MAISHA NI MAISHA!

    "Ooh ilikuwa iwe hivi" "Ilipaswa ie hivi" "Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima" "sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo" 🚮🚮🚮🚮🚮
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kingereza na uchumi; jipatie ofa hii ya KITABU kuboresha kiingereza kwa matumizi tofauti kiuchumi

    OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book) Tuwasiliane kwa namba 0623446608 Ubarikiwe!
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Afrika kivyetu vyetu. Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa. Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo. Akaenda mbali zaidi akatangaza...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  9. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polisi sasa wanaanza kukiri kuwakamata watu na kukanusha kuwateka. Mwanzo mzuri bàada ya D29

    Kumbe nyinyi ndip mlikuwa "watu wasiojulikana" Leo mnakiri kila anayepaziwa sauti kuwa mnaye wala hajatekwa. Mimi naona kama mwanzo mzuri kama mtu ana makosa mkamateni kwa kufuata sheria. Kesho msiue watu!
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina aina ya ulinzi wa tofauti kabisa. Si rahisi kuingizwa kwenye shimo kirahisi kama Sudan au Libya

    Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna hii Point ya TEC "Kanisa Lina uzoefu wa miaka mingi wa Kuishi na Serikali tofauti tofauti "... Kitima akasema 'Alikuwepo HITLER'

    Aione Samia Aione Wambura Aione Mombo Aione Abdul ,Mafwele, Kizigha, na genge lao lote. KAMWE ,HAMNA SERIKALI CHINI YA JUA ITAKAYOYUMBISHA KANISA !!..
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  14. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Kamwe Kugombanishwa Kwa Tofauti Za Dini Zetu

    My people, Katika kipindi hiki muhimu cha kihistoria, napenda kutoa pongezi za dhati kwa Watanzania wote kwa kuonyesha umoja, mshikamano na uthabiti katika kukataa udini. Kwa mara nyingine, mmethibitisha kuwa tuna nguvu kubwa katika kuwa kitu kimoja, bila kujali dini, kabila au itikadi zetu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna tofauti kati ya Uislam na Sheikh

    Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe. Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

    Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe. The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
  17. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hiyo Wizara ya Vijana itakuwa na tofauti gani na UVCCM?

    Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ... Shida ya Nchi hii ni CCM Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara.. Kwanini? Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza, Utu/watu baadae... Hiyo ndio slogan yao.. Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuna muda najiuliza mwafrika ni binadamu aliyekamilika kweli!, asije akawa ni tofauti na hao wengine

    Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize Mwafrika ni rational human being What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi Hivi marekani ingekuwa ni...
  19. I

    JamiiForums Tanzania GTX vs RTX: Tofauti Kuu, Faida, na Ni Ipi Bora kwa Laptop za 2025

    Tofauti Kati ya GTX na RTX Na Its MalekoGJ Kama umewahi kununua laptop au desktop yenye graphics card, kuna uwezekano mkubwa umekutana na maneno GTX au RTX kwenye maelezo ya kifaa. Lakini, je, unajua tofauti halisi kati ya hizi mbili? 🤔 Kwa ufupi GTX ni teknolojia ya zamani zaidi ya graphics...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa urais tofauti na wa CCM ni wakina nani?

    Huu uchaguzi unaosisitizwa sana una wagombea gani wengine katika ngazi ya Urais tofauti na mgombea wa CCM ?
Back
Top Bottom