tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa urais tofauti na wa CCM ni wakina nani?

    Huu uchaguzi unaosisitizwa sana una wagombea gani wengine katika ngazi ya Urais tofauti na mgombea wa CCM ?
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Kuna tofauti kati ya Kutiki na kuchagua kiongozi anayefaa kwa taifa lako

    Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako. Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako. Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo. Lini watatiki?
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mdau unajua tofauti kati ya E-mail na GMail?

    Usiku Mwema.
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tofauti ya Mpiga Kura Vs Muandamanaji tarehe 29/10 ni ipi?

    Polisi watatofautishaje huyu kaja Kuandamana, yule anaenda kupiga Kura? Kwa ninavyowajua Ndugu zangu wote mtawekwa kapu moja MTACHEZEA KICHAPO halafu baadae direct kituoni kuchangia uchakavu (kung'arisha viatu) au upelekwe kuzimu direct
  5. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu anaejua tofauti ya google na chrome

    Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata. Je, kuna tofauti nyingine?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unit 1 inaweza kujaza simu zaidi ya mara 50, kuchaji simu hakumalizi umeme kama wengi wanavyodhani.

    kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts) Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh) Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000 mAh Simu nyingi huwa ni 3.7V Formula ya kubadilisha mAh kuwa Wh: (Mah * V) 1,000 (4,000 *...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nipe tofauti Kati ya hawa

    Malaya Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja Changudoa Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga Kahaba Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha hata Sura,
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Samia hizi sehemu mbili tofauti utagundua kuna Shida. Ni Aibu

    Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Tuache kutekana wala kukamatana kwa tofauti za maoni, Maoni siyo kura turidhiane kwanza

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook Askofu Bagonza ameandika haya: UCHAGUZI SI “Tumbo la Kuhara”: TURIDHIANE KWANZA. Sikati tamaa kuleta wito wa MARIDHIANO katika Taifa letu kabla ya uchaguzi mkuu mwezi ujao. Uchaguzi Mkuu siyo “tumbo la kuhara” kutufanya tuharakishe bila kujali...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

    Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Gaza, kuna tofauti kati ya Adolf Hitler na Benjamin Netanyahu?

    Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kimahesabu, hakuna tofauti ya kutumia VPN iliyosajiliwa TCRA na kutotumia VPN

    Ikiwa nisipotumia VPN, digital address yangu inakuwa uchi uchi TCRA wananiona eneo niliko na nafanya nini mtandaoni, then TCRA hao hao wakanilazimisha nitumie VPN ili kuzifikia baadhi ya huduma mtandaoni walizozifungia, utaniambiaje tena nijisajili kutumia VPN ili unione nafanya nini mtandaoni...
  13. Mshindi wa Vita

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  14. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Mungu wanayemwabudu Wayahudi na Mungu wanayemwabudu Wakristo na Mungu wanayemwabudu Waislam

    Kwa mtazamo wa Wayahudi (Uyahudi): 1. Mungu kwa Wayahudi ni nani? Wayahudi wanamwamini Mungu mmoja aliye wa milele, asiyeonekana, mwenye nguvu zote, aliyeumba ulimwengu. Anaitwa kwa majina kama: YHWH (Yahweh) – Jina takatifu sana, huwa halitamkwi kwa sauti. Elohim – Linamaanisha “Mungu” kwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mnakurupuka sana: Cuba inapata mafuta na gas kutoka Venezuela

    Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki. Hivyo kulinganisha nchi kama Cuba nchi ambayo iko kwenye vikwazo na inasaidia na...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

    1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya...
  17. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Karibu tukuhudumie kwa huduma zifuatazo

    Hellw JF, natoa huduma zifuatazo. Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu Huduma katika masuala ya ajira 1. Kujisajili ajiraportal 2. Kujisajili taesa 3. Kujisajili katika bank portals 4. Kuandaa application letter 5. Ku edit document mbalimbali 6. AVN 7. Transcript Huduma katika...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa Kitabu cha Eric Kabendera umekuwa tofauti na Matarajio

    Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri. Ni mkusanyiko wa nliambiwa, nlisikia na watu wanasema. Hakuna ushahidi uliowekwa wazi. Najiuliza ina...
  19. Mchawi_mweupe

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya fedha na utajiri

    Utangulizi Watu wengi wanachanganya fedha na utajiri wakifikiria ni kitu kimoja,lakin ukwel ni kwamba mtu anaweza kuwa na fedha lakin asiwe tajiri. Tofauti kati ya fedha na utajiri Fedha ni kiasi cha pesa mtu ambacho anatumia kila siku kwa mahitaji mbalimbal,lakin utajiri ni jumla ya vitu...
  20. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

    Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo...
Back
Top Bottom