Zitto: Kuwa na Bunge ambalo asilimia 96 ni Chama kimoja huwezi kupata Fikra tofauti

Zitto: Kuwa na Bunge ambalo asilimia 96 ni Chama kimoja huwezi kupata Fikra tofauti

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,945
Reaction score
2,984
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026

"Kuwa na bunge ambalo ni 96% ni chama kimoja huwezi kupata fikra tofauti. Kwa hiyo, wala sio afya wala sifa kuwa na control ya mawazo ya upande mmoja tu."- Amesema Zitto Kabwe

 
Si mlishiriki uchaguzi, kwanini hamkupata wabunge?
Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom