tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu BAVICHA: Sisi tumeruhusiwa kuwa Think Tank ya chama, tofauti na wenzetu upande mwingine ni Praise and Worship Team

    Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Dua Lyamzito, amesema kuwa tofauti kubwa kati ya baraza hilo na mabaraza ya vijana ya vyama vingine vya siasa nchini ni uhuru wa kufikiri na kufanya ukosoaji ndani ya chama badala ya kuwa vyombo vya kusifu na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Consistency ya Tundu Lissu kukosoa serikali za awamu zote inafanya watu wamuamini tofauti na wale Wanasiasa wa msimu

    Hamjambo! Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya. Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi. Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  4. Moaz

    JamiiForums Tanzania Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Utangulizi Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
  5. kilio

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya "Special Lupsum" na Unemployment 33.3% Katika UNEMPLOYMENT BENEFIT za NSSF nini?

    Nimeshakaa zaidi ya miezi mitatu bila kupata kazi nyingine. Nilikuwa nafanyakazi private sector. Niko katika mchakato wa kujaza CLaims fomu za UNEMPLOYMENT BENEFIT katika NSSF portal. Niko kwenye kipengele cha category SPECIAL LAPSUM na UNEMPLOYMENT 33.3% , nipate Unemployment benefit...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania EAGT na TAG wamaliza tofauti zao na minyukano ya miaka mingi

    Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) na Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) limefikia maridhiano ya kumaliza tofauti za muda mrefu zilizotokana na mgawanyiko wa kihistoria wa Assemblies of God nchini Tanzania. Mzizi wa mgawanyiko huo ulianza mwaka 1982, wakati TAG ilipogawanyika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haitoshi kulipenda gari lichunguze linachukuliwaje na jamii, kuna magari ambayo yamejipatia umaarufu kutumika na watu tofauti na ulivyo

    Toyota IST, Raum - Moja kwa moja unaonekana ni mtu unaebana sana pesa, kama huna taabu kuonekana hivyo si mbaya ila ndivyo utavyochukuliwa Toyota Altezza - gari iliyojipatia umaarufu kutumiwa na vijana wadogo hasa miaka 18 hadi 26 wanaopenda drifting, kelele nyingi na kukimbiza barabarani, hawa...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
  10. Mtoto halali na hela

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya mwenza wako akimtazama jinsia tofauti na yake

    Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ? Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka. Kumbe wife kasharudi...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
  12. Mtaachana

    JamiiForums Tanzania Zemanga soze kashakuja sana bongo hapa na timu tofauti tofauti na hajawahi kupoa

    Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi tofauti na ukame, vita na mafuriko kuna shida yoyote ya kimaisha wadada wenye makebo makubwa wanapitia kwa kweli?

    Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanachopitia Chadema hakina tofauti na Mkoloni alivyowahi kuiminya Tanu kiuchumi mpaka timu ya Tanu (Yanga) ikawa inacheza mgongo wazi kwa kukosa jezi

    Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe. utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
  15. stephenga

    JamiiForums Tanzania LNG, LPG na CNG: Tofauti Yake Ni Ipi, na Tanzania Inapaswa Kuwekeza Zaidi Kwenye Ipi?

    Mara nyingi tunasikia majina haya matatu—LNG, LPG na CNG—lakini kwa Mtanzania wa kawaida ni vigumu kuelewa tofauti zake na matumizi yake. Ningependa wataalamu wa nishati watuelimishe kwa lugha rahisi: LNG ni nini, na hutumika zaidi wapi? LPG ni nini, na kwa nini ndiyo gesi inayotumika...
  16. O

    JamiiForums Tanzania sishangai watu maarufu kwenye jukwaa hasa hawa verified member kuwa chawa hawana tofauti na wasanii

    Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika. mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k Ni case study hawana namna . kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
  17. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kumiliki pesa na kuabudu pesa = wahenga walisemaje

    Kwangu huu wimbo zilipendwa unazungumzia muabudu pesa https://youtu.be/l8O6jFXXV_Y?si=d3VXfZomiiMX7azj mmiliki pesa anadumisha utu kuuweka mbele, huyu ndo atasaidia hata ndugu na rafiki zake muabudu pesa ataua ndugu kupata pesa, atafukuza ndugu badala ya kusaidia
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya vita vya Har-Magedoni na vita vya Gogu na Magogu

    Ndiyo. Haya ni maeneo matatu ya Biblia ambayo mara nyingi huchanganywa, lakini yanaelezea matukio tofauti au yanayotafsiriwa tofauti na wanatheolojia. 1. Har-Magedoni (Ufunuo 16:16) Neno "Har-Magedoni" linamaanisha "Mlima wa Megido." Linapatikana katika kitabu cha Ufunuo 16:16. Linaelezea...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Rais Samia na marais wengine waliomtangulia

    Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa. Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani. Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Africa na Mataifa mengine ni mbingu na ardhi.

    Kiwango cha tofauti ya nchi zote kabisa za Africa hasa za watu weus na nchi zingine ni kikubwa kwa kila eneo. Maendeleo, ugunduzi, utafiti, siasa, elimu hata michezo. Muda wote wenzetu kuanzia kwa watoto wao, wanafundisha, wanazingatia, wanajadili, wanaelekeza maendeleo halisi, ugunduzi...
Back
Top Bottom