tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  3. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuoa/kuolewa hauendi tena kanisani/msikitini, niambie kwanini?

    Nimeona kama ndivyo ilivyo kwa watu wengi, hebu tuambie wewe kama Mhanga wa hii hali tatizo nini? Uzi tayari!.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msemaji mkuu wa Serikali kuzungumza na Wanahabari

    Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111 Usikose...
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

    Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka wanafahamu Samatta hakuwa akipata nafasi ya kutosha pale Fenerbahce. Jambo lililonishangaza, inaonekana...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

    Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa...
  9. James Martin

    JamiiForums Tanzania Ndugai aonesha ubabe wake. Yeyote anayetaka kumtunishia misuli lazima afikirie mara mbili

    Leo Spika wa bunge, Mh. Job Ndugai amenifanya nikumbuke mhimili wa bunge una nguvu kiasi gani. Baada ya kutoa adhabu kwa Mh. Jerry Slaa na Gwajima, Mh. Ndugai alikwenda mbali zaidi na kuhoji watendaji wa serikali kama waziri wa mambo ya ndani. Alishangazwa ni kwanini vyombo vilivyo chini ya...
  10. 2019

    JamiiForums Tanzania Hujuma Rasmi: sina hakika kama kufika Desemba Deluxe Dar-Arusha itakuepo tena

    Huu utakuwa uzi wangu wa pili kuzungumzia mradi huu ambao Hayati aliacha kama Legacy. Kwa wanaosafiri mara kwa mara wanaweza kuja na maelezo ya kutosha sababu nilichoshuhudia jumamosi ni hatari kwa Tanzania Railways Corp . Tumetoka Arusha usiku wa Jumamosi tumeingia Dar saa 10 jioni Jumapili...
  11. MHP

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

    Habari Ndugu zangu popote pale mlipo Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini? Maana katika kipindi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Iramba tusidangayike tena, Mbunge wetu Dkt. Mwigulu hana uchungu na sisi kabisa

    Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu, mbunge wetu, akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais. Kila siku pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari limejazwa mafuta na Ofisi, so kwa kuwa hatumii gari lake basi tozo ya mafuta...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nimehesabu, Polisi walimpiga Hamza risasi 19 baada ya kuwa ameanguka chini na sio tishio tena kwa usalama

    Nimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea. Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Beijing kuvutia tena macho ya watu duniani kutokana na Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

    Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti kwa mara nyingine tena, baada ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo, mji wa Beijing umevutia...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbwa amedekezwa sasa ana deka na anadeka tena

  16. Nominee

    JamiiForums Tanzania SoC01 Waweza kuniiga. Niliteleza, nikaanguka, nikasimama na leo nakimbia

    Habarini wakuu.Maisha yana funzo kubwa sana,ukiwa na roho nyepesi waweza kukata tamaa. Ilikuwa ni siku ya jumamosi asubuhi,mwezi wa kumi mwaka 2019,miezi miwili tangu nihitimu shahada yangu ya kwanza kutoka chuo kikuu cha Dodoma(UDOM).Nipo zangu nimejipumzisha ndani ya chumba nilichopanga...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen. Siku hiyo nikapata lidada la Kiarabu. Mashallaah....lina tembea na...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

  19. B

    JamiiForums Tanzania Waliohubiri mitano tena kwanini wanahubiri mitano inatosha?

    JPM tuliambiwa mitano Tena, leo hii wakongwe wanasema mitano inatosha. Wamefika point Hadi kwenye gazeti wakaandika mitano inatosha, je Kama wanachama wanaamini mitano inatosha wananchi watalazimishwa na dola kutoa mitano tena au tume itasiadia wananchi kutekeleza kauli mbiu ya mitano inatosha?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viwanja vyenye migogoro vimeanza kuwa dili, na utoaji wa hati mbili umeanza tena (double allocation)

    Kuweka record sawa! Vile viwanja vilivyokuwa haviuziki kwa sababu ya migogoro utawala wa jpm, sasa vimeanza kuwa dili tena awamu ya sita!. Double allocation imeanza kurudi tena! Nashauri Inchi yetu ipitishe sheria ya kunyonga watumishi wa umma/hususani Ardhi wanaosaini na kuidhisha hati Mara...
Back
Top Bottom