2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,457
Huu utakuwa uzi wangu wa pili kuzungumzia mradi huu ambao Hayati aliacha kama Legacy. Kwa wanaosafiri mara kwa mara wanaweza kuja na maelezo ya kutosha sababu nilichoshuhudia jumamosi ni hatari kwa Tanzania Railways Corp .
Tumetoka Arusha usiku wa Jumamosi tumeingia Dar saa 10 jioni Jumapili.
Nani atapanda tena usafiri kama huu? Shirika linaenda kufa rasmi, labda tusubiri SGR ikamilike tuone kama wataweza. Kumbe uongozi kipaji bhana sio kila mtu anaweza kuongoza