Tetesi: Viwanja vyenye migogoro vimeanza kuwa dili, na utoaji wa hati mbili umeanza tena (double allocation)

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Kuweka record sawa!

Vile viwanja vilivyokuwa haviuziki kwa sababu ya migogoro utawala wa jpm, sasa vimeanza kuwa dili tena awamu ya sita!.
Double allocation imeanza kurudi tena!

Nashauri Inchi yetu ipitishe sheria ya kunyonga watumishi wa umma/hususani Ardhi wanaosaini na kuidhisha hati Mara mbili kwa watu tofauti makusudi.

Kwasababu kesi za ardhi zinaumiza sana familia na hukumu yake huchukua hata miaka 30 kutatulika! ( yaani kesi inafunguliwa na babu inakuja kumalizwa na mjukuu)

Hivyo ishu ya ardhi tusimtegemee waziri wa ardhi peke yake, hawezi kufika kila kona cha mhimu Tuanze kunyonga watumishi wanaofanya hayo haraka!

Kama hakuna mnyongaji, wengine kazi hizo za kikatili tumezoea!

Kama sheria ya kunyonga itakuwa ni ndefu basi Wekeni utaratibu mzuri ufanane na ule wa ujambazi ili pale inapobainika pasiposhaka watu hao kufanya hayo, basi wafananishwe na ujambazi wa ardhi; Tuone namna ya kufanya haraka haraka! (Silaha naimani zipo za kutosha kila wilaya kutwa zinafutwa vumbi bila kazi wakati kazi kama hizi zipo)

Hili linawezekana kabisa, "Wakati mwingine mfumo wa dawa au neti ya kuzuia Mbu unapofeli, Mbu wanaopenya ndani ya neti hustahili kuuwawa kwa Makofi"
 
Hili linawezekana kabisa, "Wakati mwingine mfumo wa dawa au neti ya kuzuia Mbu unapofeli, Mbu wanaopenya ndani ya neti hustahili kuuwawa kwa Makofi"
emoji1752.png
emoji1752.png
emoji1752.png
 
Ku allocate viwanja kama hauna mfumo ni kazi ngumu sana. Imagine inchi ina Halmashauri 186 tu lakini bado kumetokea double allocation kwa wakurugenzi, ndo itakuwa viwanja elfu 20?
 
Miamba ni miwil tu katika hii nchi hadi sasa..mwalimu na jpm..wengine ni walevi walevi tuu.

Hakika tunakukumbuka sana jpm.. huku yamebaki manyang'au yanayosuluhisha kesi za kufumaniana.
 
Miamba ni miwil tu katika hii nchi hadi sasa..mwalimu na jpm..wengine ni walevi walevi tuu...
Hakika tunakukumbuka sana jpm.. huku yamebaki manyang'au yanayosuluhisha kesi za kufumaniana.
Tule mtori nyama zipo
 
Back
Top Bottom