Tikki Tikki Tembo is a 1968 picture book written by Arlene Mosel and illustrated by Blair Lent. The book tells the story of a Chinese boy with a long name who fell into a well. It is a sort of origin myth about why Chinese names are so short today. The book is controversial because it appears to retell a Japanese story and because it does not portray Chinese culture accurately.
MBUNGE BAHATI NDINGO Afikisha Hoja ya Dharura Bungeni - Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali
Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. BAHATI KENNETH NDINGO leo tarehe 30 Aprili, 2024 amefikisha Hoja ya Dharura Bungeni mbele ya Spika kutokana na...
Habari wadau!
Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
Anasimamisha magari Kana kwamba ni trafiki anataka kulikagua gari ataingiza limkonga lake dirishani na kuanza kupapasapapasa humo kwenye gari chochote cha kula atakachokutana nacho ni halali yake atakipora,ataacha usumbufu wake atakapopenda yeye anaweza simamisha gari zaidi ya dakika 10...
Kwenye vita za zamani kulikuwa kuna utaratibu kabla vita haijaanza inabidi kila upande ukae umbali wa takribani mita 400 (viwanja vinne vya mpira), hivyo kulikuwa na eneo kubwa la wazi kati yao, kila upande ulipeleka mpignaji wao mahiri katikati ya hilo eneo la wazi kupigana ANA KWA ANA mpaka...
Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira.
Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
Serikali ya Nigeria imeharibu Tani 2.5 za Meno ya Tembo zenye thamani ya zaidi ya Dola Milioni 11.2 (Tsh. Bilioni 28) ikiwa ni sehemu ya harakati za kulinda idadi ya Tembo inayopungua dhidi ya Walanguzi wa Wanyamapori waliokithiri.
Ndani ya kipindi cha miongo mitatu iliyopita, idadi ya Tembo...
Tarehe 14/11/2023 maelekezo hayo yametolewa kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuanza zoezi la ulipaji fidia Waguswa wa mradi huo ambapo wananchi wa vijiji vitano vya Kata ya Bugarama na Muganza wataanza kulipwa fidia zao hivi karibuni.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Dk. Pius Chaya ameihoji serikali je, ni mkakati kuhakikisha inapambana na tembo ambao wamekuwa kikwanzo kwa wakulima wa korosho jimboni hapo?
Amesema katika jimbo hilo kuna kilimo cha korosho block farm lakini tembo hao wamekuwa wakiwasumbua sana...
Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
Chama cha ACT Wazalendo hakiliridhishwi na kasi ya Serikali katika kushughulikia matukio ya tembo kuvamia makazi, kuharibu mali (mazao) na kutishia usalama wa wananchi nchini. Tangu mwaka 2021 vilio vya wananchi wanaoishi pembezoni au maeneo yanayozunguka hifadhi au mbuga za wanyama kama vile...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha kuanzia Septemba mosi hadi 12, limefanya oparesheni na Misako yenye tija katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kukamata watuhumiwa 29 wakiwemo wa kupatikana na nyara za serikali (Meno ya Tembo), kufanya...
Mnamo tarehe 11/09/2023 majira ya saa 2:22 asubuhi Ofisi ya Pori la Akiba Wamimbiki ilipokea taarifa toka kwa mwananchi aitwaye Manase Thomas Baha wa Kijiji cha Kwamsanja, Kata ya Kibindu, Halmashauri ya Chalinze. Taarifa ilisema kuna mtoto wa tembo amenasa kwenye shimo lenye tope na maji katika...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Jumanne Hamis kwenda jela miaka 20 na kulipa faini ya zaidi ya Sh1 bilioni, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na vipande nane vya meno ya tembo.
Pia mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Joseph Jeremiah baada ya upande WA mashtaka kishindwa...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha...
1. Zungushia Shamba lako na Kamba ya Katani kisha ipakae Pilipili Kali
2. Panga Matofali moja moja Kuzungukia Shamba lako lote
3. Tafuta Spika Ndogo Nne kisha zipange kila Kona ya Shamba lako kisha weka nyimbo zenye midundo ya Ngoma tupu
4. Ukiweza mtafute Mtu mwenye Pikipiki mbovu yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.