tembo

Tikki Tikki Tembo is a 1968 picture book written by Arlene Mosel and illustrated by Blair Lent. The book tells the story of a Chinese boy with a long name who fell into a well. It is a sort of origin myth about why Chinese names are so short today. The book is controversial because it appears to retell a Japanese story and because it does not portray Chinese culture accurately.

View More On Wikipedia.org
  1. Glenn

    JamiiForums Tanzania Hatari Same; Makundi ya tembo yanatishia uhai, Waziri Ndumbaro chukua hatua

    Habari wana JF wenzangu, Ni miaka mingi nimekuwa mtumiaji wa barabara ya kuelekea Mikoa ya kaskazini mwa nchi yetu yaani Kilimanjaro na Arusha bila kuona wanyama wowote wakali kama simba au tembo. Lakini jambo la kushangaza, hivi karibuni yameibuka makundi makubwa sana ya Tembo wengi sana...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Makamanda wenzangu mlipoanza kusifia kuwa mama anaupiga mwingi nikajua mnalitia tembo maji.

    Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa. Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii. Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Utitiri uliombeba Tembo kwa kasi ya Duma

    Mke wangu aniamsha, usiku saa sita, Machozi aomboleza, simu anonyesha, Habari mbaya napata, usingizi unakata, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa. Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota, Aniijia Raila Amolo, machozi analia, Dola toa tangazo, tarehe kumi na saba, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa...
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kumbuka mgema akisifiwa tembo hulitia maji

    Naomba kuwasilisha! Mama ulianza kwa kupika mvinyo mwanana wa uongozi mpaka wasiofungamana na wew kiitikad (ikiwemo Mimi mshale21) wakaukubali kwa utam kisha wakaonesha hisia zao kua huenda mwelekeo ukawa sawa! Sasa umepata sifa umeanza kupiga dilution kwenye mvinyo Sasa hauna Radha na hakuna...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania “Tukio la kutoroka kwa tembo” la China latoa njia ya kufikiria jinsi ya kulinda wanyamapori na kuondoa mizozo na binadamu

    Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. Mwezi Mei mwaka jana...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro punguza siasa katika usalama wa wananchi dhidi ya tembo wavamizi

    Wakuu, Kwa sasa hali ya usalama wa wananchi wanaoishi maeneo ya jirani na hifahibza wanyama pori umekuwa wa kusuasua kutokana na uvamizi wa tembo katika makazi na mashamba ya watu, pia hata wengine kuuawa Sasa waziri Ndumbaro amekosa suluhu dhidi ya tembo hao kunusuru usalama wa raia na mali...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Apoteza maisha kwa kushambuliwa na tembo, Handeni

    Mtu wa pili amepoteza maisha ndani ya wiki moja baada ya kushambuliwa na tembo wanao endelea kuzurura hovyo kwenye makazi ya watu katika mtaa wa malezi wilayani Handeni mkoani Tanga. Akiongea na ITV akiwa hospitali ya wilaya ya Handeni ulipohifadhiwa mwili wa marehemu ambaye amejulikana kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tembo wamekuwa tishio kwa wananchi, Serikali iwavune kwa Usalama wa Raia

    JF, Hii imekuwa kero kwa raia wa nchi hii kutoka mikoa mbali mbali. Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti taarifa za tembo kuvamia makazi na mashamba ya watu na kusababisha madhara kwa mali za watu na uhai wao. Mikoa ya Ruvuma, Tanga na Manyara kero hii ni kubwa mno,, wananchi...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tembo 30 wavamia mashamba na makazi ya watu wilayani Namtumbo

    Tembo 30 wakiwa katika makundi mawili wamevamia makazi na mashamba ya wananchi na kuharibu ekari zaidi ya 20 za mazao mbalimbali na kuzusha taharuki kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Mbimbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. ITV imetembelea mashamba yaliyoharibiwa kijijinii hapo katika kata ya...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri atoa rai kwa wanaoishi karibu na mbuga na hifadhi washauriwa wasilime maboga na matikiti kuepuka tembo

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema wananchi wanatakiwa kulima mazao ambayo hayatawavutia tembo na wanyama wengine kufanya uharibifu. Tembo huvutiwa na maboga na matikiti. Ili kuepuka changamoto ya wanyamapori kuvamia mashamba na vijiji, vilivyo karibu na hifadhi za...
  13. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini. Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

    Tembo mwenye thamani ya shilingi milioni 30 katika hifadhi ya taifa ya Serengeti amekufa baada ya kugongwa na gari namba T 388 DUF Toyota Kluger wakati akikatiza kwenda kunywa maji Ziwa Victoria kwenye barabara ya Mwanza kuelekea Musoma wilayani Bunda mkoani Mara. Kamanda wa jeshi la polisi...
  15. muzi

    JamiiForums Tanzania Tembo akisifiwa sana tutaendelea kuumia

    Tanzania nafikiri kuna sehemu tunakosea sana, kuna watu wanasifiwa mpaka tunakufuru kwa maneno yetu. Hatukatai kumsifia mtu akifanya mazuri lakini iwe na kiasi. Sifa, heshima, utukufu, na tukufu zote ziende kwa mwenye kutoa uzima, uhai, ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi. Sasa inashangaza mtu...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tembo waua sita, wajeruhi saba katika kipindi cha miaka miwili

    WANANCHI Sita wameuawa na wengine saba kujeruhiwa vibaya kwa kushambuliwa na Tembo katika Kijiji Cha Makuyuni wilaya ya Monduli ,Mkoani Arusha katika kipindi cha miaka miwili na kusababisha wakazi wa Kijiji hicho kuishi kwa hofu. Aidha Tembo hao wanadaiwa kuvamia pia mashamba ya wananchi hao na...
  17. CORAL

    JamiiForums Tanzania Tembo asaka tiba baada ya kupigwa risasi na majangili

    Tembo mmoja huko Zimbabwe ameacha watu midomo wazi baada ya kutafuta madaktari wa wanyama pori wamtibu kufuatia jeraha alilopata kichwani kwa kupigwa risasi na majangili. Majangili walimpiga risasi tembo huyo wakitaka kumuua ili wang'oe meno yake wakauze. Lakini tembo huyo alinusurika na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kijazi: Msidanganywe, Maini na Mafuta ya Tembo sio dawa ya Kansa ya ini wala Kansa ya Uzazi

    Salaam Wakuu, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi amawaeleza Wahariri na Waandishi wa habari Wandamizi zaidi ya 50 waliokutana Dodoma leo tarehe 10 Dec 2020 kwamba, kuna ujangiri mpya wa tembo umeibuka upya. Kijazi amesema kwamba Majangili Wamebuni mbinu mpya ya...
  19. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waswahili walisema "usiige kunya kwa tembo!" Kinachonikuta Sasa!

    Si ulishasikia ile kauli ya jino kwa jino..? Sasa nikajaribu kuifata! Kumbe sikujua mwenzangu anameno mimi namapengo! Aliponiblock nami si tu ya kwamba nikamblock bali nilimubuloku!.. haikuisha hapo aliacha kunitafuta nami si tu nikaacha kumtafuta bali nilimfuta kabisa!.. mambo ya jino kwa jino...
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuandaa ndizi aina ya Mkono wa Tembo

    Nimekata hizi ndizi kubwa kubwa Sana, hapa kwetu zinaitwa mkono wa tembo, sijawahi kuzila hata siku moja. Naomba wataalamu wabobezi wa Aina mbalimbali ya kuziandaa ndizi hizi kwa ajili ya kula mnielimishe namna ya kuziandaa. Nimetumia neno kuandaa kwa sababu Kuna Aina mbalimbali ya kuzipika...
Back
Top Bottom