Nigeria yateketeza Pembe za Ndovu zilizokamatwa zenye thamani ya Tsh. Bilioni 28

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Ndovu.JPG
Serikali ya Nigeria imeharibu Tani 2.5 za Meno ya Tembo zenye thamani ya zaidi ya Dola Milioni 11.2 (Tsh. Bilioni 28) ikiwa ni sehemu ya harakati za kulinda idadi ya Tembo inayopungua dhidi ya Walanguzi wa Wanyamapori waliokithiri.

Ndani ya kipindi cha miongo mitatu iliyopita, idadi ya Tembo nchini Nigeria imepungua kwa kiasi kikubwa kutoka wastani wa 1,500 hadi chini ya 400 kutokana na ujangili wa pembe za ndovu na migogoro ya binadamu na tembo.

Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mazingira, Iziaq Salako amesema Serikali imeponda pembe hizo na itatumia unga huo kujenga mnara wa mfano wa Hifadhi ya Taifa kama ukumbusho wa umuhimu wa Tembo katika mfumo wa ikolojia.

Maelfu ya Tembo wanauawa kila Mwaka kwa ajili ya kupata meno yao licha ya marufuku ya Mwaka 1989 ya Biashara ya Pembe za Ndovu na Mkataba wa Biashara ya Kimataifa ya Wanyama na Mimea Walio Hatarini Kutoweka (CITES).

================

Nigeria destroys record $11.2 million in seized elephant tusks

Nigeria on Tuesday destroyed 2.5 tonnes of seized elephant tusks valued at over 9.9 billion naira ($11.2 million) in a push to protect its dwindling elephant population from rampant wildlife traffickers.

Over the past three decades, Nigeria’s elephant population has declined drastically from an estimated 1,500 to less than 400 due to poaching for ivory, habitat loss and human-elephant conflict, according to conservationists.

Minister of State for Environment Iziaq Salako said the government crushed the tusks and will use the powder to build a symbolic national park monument as a reminder of the importance of elephants in the ecosystem.

The pulverization of the tusk in the capital Abuja follows a similar event in October where officials destroyed four tonnes of seized pangolin scales valued at $1.4 million.

Thousands of elephants are killed each year for their tusks despite a 1989 ban on the trade of ivory by the Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Fauna and Flora (CITES).

Despite being a signatory to CITES, Nigeria is considered a hub for gangs sending illegal African wildlife parts including tusks and pangolin scales to Asia, according to law enforcement and wildlife experts.

But the large West African nation has stepped up counter-smuggling efforts in recent years, partnering with British, US and German officials as well as international organizations to make its biggest seizure of illegal wildlife parts in August 2021.

Last month, officials began an investigation after a video posted on social media showed a soldier shooting two elephants that strayed into farmlands, sparking outrage among citizens.

In 2022, Nigeria customs officials seized 1,613 tonnes of pangolin scales and arrested 14 people.

Source: CNN
 
usikute wameteketeza Pembe za ng'ombe na za tembo zimeuzwa

waliwahi kununua ndege 12 hewa za kivita kupigana na Boko haram

Askari wakawa wanashambuliwa sana na Rais Buhari kuwa wana kila kitu halafu wanapigwa

Rais akaambiwa Hizo ndege zipo kwny makaratasi sio uhalisia

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
bil 28 nifedha nyingi kama kweli wamechoma fedha yote hiyo itakuwa ni ujinga tu, ujangiri hautokomezwi kwa kuchoma pembe za ndovu!
 
Hizi ni akili au matope yani wateketeze thamani ya billion zote hizo ili iweje wana maana gani sasa kusema zina thamani ya hizo pesa huu ni ujinga bora wangeziuza hiyo pesa wakaenda hata kulewa na malaya ingependeza
 
Kama nchi wafanye biashara haramu? Vipi ukipata mkeo amehongwa gari na jamaa how will You react?
 
Kama nchi wafanye biashara haramu? Vipi ukipata mkeo amehongwa gari na jamaa how will You react?
Hahahah ngoja nicheke kwanza!! hapo kipi bora mkeo aliwe na hasara upate!! au mkeo aliwe na faida upate mi sio mjinga vile mkuu sipotezi vyote... hebu niambie faida yake nini pale?
 
Hahahah ngoja nicheke kwanza!! hapo kipi bora mkeo aliwe na hasara upate!! au mkeo aliwe na faida upate mi sio mjinga vile mkuu sipotezi vyote... hebu niambie faida yake nini pale?
Kukubali ni kuhalalisha kuliwa mkeo....same na hili suala wao kuuza ni sawa na kuhalalisha ujangiri. Pia hizo biashara huwa ni black market hazina soko maalum.
Kwa maana hiyo hata dawa za kulevya zikikamatwa ziuzwe nchi ipate pesa sio?
 
Hizo biashara unazoambiwa haramu hao hao ndio wanafanya black market kwako na kitu usichokijua hapo hakuna kilichoteketezwa ni kufunika tu ukweli nani mjinga achome mabillion na njaa hizi za africa😆😄
 
Hizo biashara unazoambiwa haramu hao hao ndio wanafanya black market kwako na kitu usichokijua hapo hakuna kilichoteketezwa ni kufunika tu ukweli nani mjinga achome mabillion na njaa hizi za africa😆😄
Umenena, hapa bongo mkaa na mbao zinakamatwa sana, mbao wanaziuza kwa njia ya mnada pia kwenye mkaa wanausafirisha, wanaenda kuuza mikoa mingine.
 
Umenena, hapa bongo mkaa na mbao zinakamatwa sana, mbao wanaziuza kwa njia ya mnada pia kwenye mkaa wanausafirisha, wanaenda kuuza mikoa mingine.
Kabisa unajua san mkuu ila wanataka tuseme na ushahidi tulete kisha waulize nani huyo maana Michezo hii ya kizamani toka enzi kina mkono nashauri wabadilishe mbinu 😂😂
 
Back
Top Bottom