Mfumo wa Tasac nao haupatikani wiki ya pili sasa. Kuna kipi kinaendelea?

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo.

Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?!

Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa.

Inakwaza sana!
 
E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Haya madudu ndiyo yanayowafanya waandike kwamba sasa hivi wana furaha zamani hawakuwa na furaha.

Lakini sauti ya Majaliwa ina mamlaka ndani yake ndiyo maana wako bize kumfundisha rais Samia kuwa amtoe kwenye uwaziri mkuu kwa sababu eti ni masalia ya JPM!

Kwani SAMIA ni masalia ya nani?
 
Hovyo sana… kwani wanakwama niji kujifunza private sector wanafanyaje?

Nb
Mtu asiniambie wateja/user wengi.. ni argument ya kipuuzi kwani wakati wa designing hukujua ita serve clients ngapi?
 
mleta mada ukumbuke mwenda zake alisaini kushirikia na wanyarwanda kwenye mifumo ya tehama.sijua waliondolewaga au bado wapo.
wanachotakiwa hadi sasa kuchunguzwa upya kwa wasimamizi wa mifumo hii wasipoangalia watatumiiza sana .
 
Back
Top Bottom