tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi kuhusu tatizo hili la e-mail naomba msaada!!!

    Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu kwenye matangazo yao ya kazi!Ninaomba mwenye ujuzi wa namna ya kufanya anijuze ili watu wasiendelee...
  3. JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio Sony genezi mhc-gtr55 inasoma "please wait" au "reading" tu nikiweka flash drive. Nini tatizo wakuu?

    Habari wakuu, Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea. Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima. Tatizo laweza kuwa nini...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  6. JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanga ni nomaaaaa!!!! Nimenyosha mikono

    Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa na ananiheshimu Mimi kama baba yake,mwanamke hajawahi kunipandishia sauti,mwanamke ananilisha...
  8. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kuchelewa kufika kileleni

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, nimekuwa na tatizo la kuto kufika kileleni. Yan kufika kileleni mpaka niamue nianze kuvuta hisia. Si kma zaman nlkuwa nafika kwa kulazimishwa na utamu wa kitumbua. Nikikutana na mwanamke konkod 2naweza sex zaid ya saa bila kufika kileleni. Yan mpaka aseme...
  9. JamiiForums Tanzania Nakwenda Dodoma kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila tatizo lolote. Mama anaweza

    Nimekatisha safari yangu ya kwenda nyumbani Songea, Ruvuma. Nimegeuzia Masasi, Mtwara. Nimeamua kuingia mstari wa mbele bila kelele kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila vikwazo vyovyote. Nikiwa Masasi, nilipokea taarifa za kiintelijensia kuwa kuna baadhi ya makada wabobezi...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la ku access instagram na twitter

    Habari ndugu zangu, Mimi natumia internet ya Ofsini kwetu Ethernet/WiFi iliyowekwa na Internet Providers....tatizo ni kwamba huwezi kutumia mtandao wa Instagram na Twitter mpaka uwashe VPN. Naombeni msaada wa kutatua changamoto hii kama naweza kutumia mitandao hiyo bila VPN coz mitandao...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi

    Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi na idadi ndogo ya wazalishaji . Tutaishia kutamani kujenga madarasa mengi, kuongeza madawati lakini kwa kupitia idadi ya watu ndipo tunaweza kupanga mambo mengine" Mbunge Sebastian Kapufi.
  12. JamiiForums Tanzania P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

    Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo. Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili. Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika. Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
  13. JamiiForums Tanzania Intensive discussion; ushauri wa kisera kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini angalau kwa 90%. Visababishi, mkwamo na jinsi ya kutoka

    Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu? 3.Tatizo hili linasababishwa na nini? 4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli elimu ya Tanzania ndio tatizo?

    - Nmekutana na hizi mada sana haswa kwa vijana, kila swali utakalomuuliza kwann hajipush mwenyewe atasema elimu ya tanzania ndo imetuandaa kuajiriwa, lakini nikikaa nkiwaza vizuri na nkirelate na nchi ambazo nmeshatembelea naona kote duniani ni vile vile. - Kibaya zaidi nawajua watu wengi ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    BAADHI YA MASWALI YA WADAU KUHUSU HALI HII: UFAFANUZI WA TATIZO Idadi kubwa ya watu wanasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri. Tatizo hili laweza kusababishwa na matatizo mbalimbali lakini kubwa ni fangasi. Watu wanapaswa kufahamu kuwashwa sehemu za...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Sakata la Harmonize & RayVanny: Ni utoto, sema tatizo wana hela

    YES, kwa vigezo vyovyote, hawa wasanii wawili, Konde Boy na Ran Vany, ni watoto. Sio kiumri pekee, lakini hata kimuziki. Katika umri, ni daraja moja na watoto weeeengi waliopo Bongo Fleva hivi sasa, ambao nyakati zinawabeba kwa sababu ya mitandao ya kijamii na tofauti na kaka zao, wana hawana...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wadau, hili ni tatizo gani?

    Yaani kifua kinaniuma, kilianza kama miti miwili inanichoma kwa muda fulani halafu inaacha! Hospitali wamekuwa wakidai nipige x-ray za kifua nazo zinaonyesha hakuna tatizo! 😥😥😥
  18. JamiiForums Tanzania Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

    Amani iwe kwenu wadau! Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi ni kwa jinsi gani hali ya maisha ya watu wa nchi iyo inavyoboreka na kuwa Nzuri siku hadi siku. Alama...
  19. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Mwanaume kupelekeshwa na Mwanamke na asiongee chochote?

    Iwe katika mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakipelekeshwa na wanawake zao na wasiongee kitu uwe na hela usiwe na hela. Mwanaume utapelekeshwa kama mtoto huongei kitu wengine wanaenda mbali zaidi hata mama yako anamdharau na ndugu zako unaona kabisa hayupo sahihi ila...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

    Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania? Akina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…