Ikiwa suala la kiuchumi si tatizo kwako, ni vipi utayafurahia maisha?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,444
3,418
Habar zenu wakuu,

Turud katika mada,

Tuna assume kwamba suala zima la uchumi si tatzo kwak, una kipato cha kutosha, you can afford all your needs.

Swali kivip utayafurahia maisha kwa upande wako?

How you can achieve the climax of life happiness?

Tiririka maana kuna wat wana pesa lkn bad hawaelewi wafanye nini.

bb0e85d819354a03951f4fef9f23b757.jpg
[

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Furaha ya mtu anaijua yye mwenyew, huwez ukasema mtu fulan ana furaha, fafanua furaha kwa upande wako mkuu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na mambo yake yanayompa furaha.....
Kwangu mimi ingekua ndio nnazo hizo pesa, Furaha ni kuvaa vizuri, kula kile nnachokitaka na kwenda kutembea maeneo mbalimbali na watu nnao wapenda.

Ila kwakuwa sasa sina pesa sio kwamba sina furaha nnayo kidogo kwakua nnaishi maisha ya kuendana na nilichonacho.
 
When u love what u have,u have everything u need,if u have only one smile in you give it to the people u love,
The most important thing is to enjoy your life,to be happy,
There is no greater wealth than peace of mind.
 
U mean for u happiness is to appreciate what u have and giv it to others? If yes does it reflects u or just philosophical saying.
The peace of mind is happiness?
There are people have peace of mind and also trying to find a way to enjoy life

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hapiness comes when you have attained your heart desires
Heart desires differs from one to the other,it can be preaching,fishing,piloting,modelling,singing,helping others and so forth!
 
Kutumia hizo pesa to be 'the best version of myself'...kimwili,kiakili,kiroho nk
Hapo kuna mambo mengi sana...
 
Back
Top Bottom